Recent content by Ukwel mtupu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Mount Meru University(MMU)

    Ni kweli mkuu!!!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Mount Meru University(MMU)

    Wakuu ninatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu na ninapendelea kusoma katika chuo hiki kampasi ya mwanza kwa koz ya BBA lakin nilikuwa nataka nijie kuhusiana na ubora wa elimu inayotolewa katika chuo hiki pia idadi ya masomo kwa semister moja ili niweze kufanya chaguo sahihi. Naombeni kwa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha azam

    Wakuu tangu azam atoe ving'amuzi vyake nilkuwa bado sijaviona lakin leo katika pitapita yangu nikaweza kumkuta jamaa mmoja anacho aisee nimevutiwa sana na hiv ving'amuz kwanza channel ni nyingi pia rangi imetulia tatizo ni dish lake kuwa kubwa sasa kwa sisi tunaoish kwenye upangaji tutapata...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Kaka upo mpwapwa sehem gan?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mko wapi mliosema ajira zitatoka mwezi huu

    Tatizo lenu baadhi ya walimu hamtaki kuambiwa ukweli mnajifariji kwa vitu ambavyo haviwezekani. Mkiambiwa serikal haina hela za kuajiri mnaanza kutoa matusi haya.sasa endeleen kudanganyana!!!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tusiwaamini wanasiasa hata kidogo!!!

    Kazi ipo kwa wanasiasa wetu!!!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tusiwaamini wanasiasa hata kidogo!!!

    Wakuu kwanza polen na majukumu ya kila siku, mimi ni mdau mkubwa wa siasa hasa baada ya uchaguz mkuu uliopita nilikuwa nafatilia sana siasa za vyama vyote chama tawala na vyama pinzani. Mwaka 2010 kipind cha uchaguzi mkuu nilikuwa nimejielekeza zaid katika kufatilia hoja zilizokuwa zikitolewa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Nafikiri huko Usagara kutakuwa kuna uafadhali kidogo!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya zinaa-mambo muhimu Kufahamu

    Ni muda gan mtu ataanza kuona dalili tangu alipoambukizwa?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Lozi ndiyo karanga dr au ni nin, mbona sielewi wala sijawah kusikia kitu kinachoitwa lozi
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Ngoja nifanye hivyo mkuu!!!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Kwan arusha pakoje huko mkuu???
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Asante mkuu kwa ushaur wako, ngoja nifanye hivyo
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Taja bei mkuu, chote ni bei gan ili kama vipi nikuibukie
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Mmmmmh pole mkuu!!!
Back
Top Bottom