Recent content by ukwama

  1. U

    Watanzania wameamua wanamtaka nani awe raisi wao!

    Lowasa ndo rais wangu na rais wa Tanzania
  2. U

    CCM itaondolewa lakini...

    Same wife in different bottle??? ama kweli kingereza kigumu ila haya yote yamefanywa na CCM
  3. U

    Kuendesha gari zinazotoka bandarini kwenda nchi jirani "IT"

    Nenda pale shell ya Oil com makutano ya chang'ombe na nyerere Rd kuna madereva wengi wa IT wako pale tafuta jinsi ya kuwaaproach watakupa mishe
  4. U

    Rangi na mapenzi

    kwa hyo mtoa mada unapenda CCM ?
  5. U

    Moja ya somo gumu ni kujifunza uvumilivu ktk mazingira ya kudhulumiwa na kuonewa !

    Angalia mienendo yako ktk chama huwezi kukatwa from no where refer wewe Mkono ulikuwa na team ya Zito Kabwe na ulikuwa unapinga kufukuzwa kwake CDM sijaona sehemu yoyote ile uliyokuja kukiomba chama msamaha.Nawasilisha
  6. U

    CHADEMA Karagwe yapata pigo, Kahangwa ahamia TLP

    huyu jamaa si ndo anatuuma za kuzini na mtoto wa form one shule ya Karaseco?na kesi ipo mahakamani,Pia inasemekana huyu jamaa aliuza jimbo mwaka 2010 kwa CCM na pia huyu jamaa nnauhakika alikuwa na timu ya Zito ya kuisaliti CDM aende tu Prince anafaa sana huwezi kumlinganisha na huyu kiazi
  7. U

    Kila nikiulizia jibu langu, yeye anaomba pesa

    Salaam, Nahisi ili jambo linahitaji ushauri . Kuna binti mmoja ninampenda, Nilianza kufahamiana naye miaka 5 iliyopita wakati tupo chuoni. Alionekana kama future wife kwa jinsi nilivyokuwa namwona the way alivyokuwa anajiweka, mcha mungu sana hana company za kijinga kijinga kweli niliona...
  8. U

    DSTV wanapoamua kuwa wababe, namna gani naweza kupata king'amuzi cha Bein sports

    me mkuu Nina Sony smart TV ila hayo maujanja Sina unapatikana wapi ikiwezekana utusaidie
  9. U

    Slow Love Songs Fans

    kuna Song nyingine za kiafrica nazo huwa znanikosha Mpenzi Leya-khadija Nin Vero- Papa Wemba Zanzibar
  10. U

    Slow Love Songs Fans

    Kuna ngoma moja ya West Life siijui jina lake yaani ikipigwa radioni huwa nasikia mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi Sana nimejaribu kuzigoogle nyimbo zote walizoimba ila sijafanikiwa kuupata. Pia kuna wimbo wa Wako Jacko unaitwa Liberian Girl jamani haka kasongi huwa kananikoshaga
  11. U

    Twendeni tukapige kura asiyetaka abaki-Amri ya B,Mkapa kwa Wajumbe H/KUU

    EL jiripue CCM sio baba yako wala mama yako kama wamekukataa wao sisi huku UKAWA tunakuhitaji na nadhani utakuwa salama ukiwa nje ya CCM kuliko kuwa ndani yake.
  12. U

    Naitaji tsh laki tatu naweka bondi samsung note 3

    weka hyo simu tuione tukupatie pesa wewe utakufaje wakati unamali zako ndani?
  13. U

    Nauza Nyumba yenye Ghorofa moja (Haijakamilika)

    IPO sehemu gani?
  14. U

    Bei za photocopy machine

    Kwa wazoefu wa stationery naomba uzoefu hasa wa photocopy machine nzuri (mpya) na nzuri zinauzwa wapi hapa dar na bei zake zinakuwa bei gani nahitaji heavy duty
  15. U

    Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

    Bikra mwachie Maria na Yusuf waliobaki ni usanii mtupu kuna kademu nakafukuzia mwaka sasa unapita nikijaribu kukaomba papuchi kanadai ni kabikira, ila matendo yake hayasignify bikra yake kwa sababu kanapenda sana kuomba pesa nipo nakavutia kasi kakijichanganya kakavua chupi na hyo bikra...
Back
Top Bottom