Recent content by Ukti Jabue

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Hongera sana mkuu, ni step kubwa sana
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Umemaliza kushauri, chukua huu ushaur mkuu.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Na ww unampenda sana km ndo mziwanda kwa wanawake, tafuta pisi nyingine huyo mblock usitake kujua chochote kuhusu yy, na inawezekana ndo mpenz wako wa kwanza mana ungekuwa konki wala usingeomba msamaha kwa kosa lake ACHANA NAE UTAPATA SUKARI NA PRESHA
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    Kuna siku na ww ndugu yako wa damu atamleta mtoto umsaidie kulea je mkeo akatae.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

    Uzi Mswanu sana huu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wapi nawezapata Mchele Bora?

    Boss NONGWA njoo utupe majibu, afu mbeya sehem gan ulipo wew?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wapi nawezapata Mchele Bora?

    Following
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Hapo ndo linapoanzia swali
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Aisee Mungu ni mkuu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Papaa007 Bobmarley umeogopa wakat ulikuwa unapewa mambo mazur bila malipo wala kuomba, ahahhhahahaah.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Sasa bwana ulimwacha mke kwa kuwa kawa mbwa usiku mmoja tu km na yy alitumika na wachaw huoni km ulimuonea? au kuna tukio lingine lilijitokeza.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujifunza kitu kupitia mimi

    Nimejifunza sana tu, kwamba ni mwiko kufkiri macho ya watu ilhali unashida zako binafs Thanks nmejifunza.
Back
Top Bottom