Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

isley

Member
Sep 24, 2016
48
83
Nakumbuka niliomba ushauri hapa na nikaanza ujenzi kidogokidogo, kwenye jamvi hili pakawa dira yangu Kila ninalotaka kufanya.. Kila hatua nilipata mrejesho hukuhuku nini nifanye pia kwa kupitia na post za wengine.

Kwa sasa nimehamia kwangu japo ndani Bado sijafanya finishing ila Nina amani Sana. Kwenye picha ya pili nilijenga hilo shimo linalochukua nafasi ndogo kwa sababu sikutaka kutumia eneo vibaya mawazo niliyapata hukuhuku.
Mbarikiwe mnaotoa mawazo yenu humu.

Nilipata ka chenji Cha kuendelea nitarudi kwenu.

IMG-20210920-WA0008.jpg

Hongera mkuu
 
Hongera sana mkuu, ni step kubwa sana
 
Back
Top Bottom