Pole sana mleta maada kwan ridhiwani pesa alizo nazo kazipata wapi ....Uchwara hizo hoteli alizo nazo alipata kabla ya kua.....Nakuomba utuachie Rais wa moyo wetu
Mheshimiwa Raisi ameamua kugeukia upande wa dini ili kuendelea kukonga mioyo ya wananchi baada ya kuona wananchi kukata tamaa na tumbuatumbua ambayo wananchi waliamini ingekua mkombozi wa maisha lakini imekua kinyume chake .Lakini ningependa kushauli upande huu wa dini ni hatari sana kwa...
Watu wengi huangaika kupata pesa kwa tabu lakini kuna nguvu ya kichawi huwarudisha nyuma hii inatokana na mchawi kutumia muujiza wake wa chuma ulete.Hebu tupeane maufundi hayo.
Mujiza ni kutenda jambo ambalo ni kinyume ya utalatibu wa kawaida yani hutumia nguvu ya ziada .Mujiza huu wa mchawi hujulikana kama chuma ulete.Hebutupeane maufundi kufanya miujiza huu¿
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.