"Ng'ombe anahema haaah!! Na Mimi navuta mmh!" Kauli ya Reginald mengi

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,462
Hii kauli aliisema miaka kadhaa iliyopita, akielezea alivyokuwa akilala na ng'ombe chumba kimoja, kauli hii ninaitafsiri maisha yalikuwa ya taabu sana, Leo ndo huyo kama mnavyomjua.
Maisha ni safari ndefu.
Huu Wakati wa Magufuli ni mzuri kuliko enzi akina Mengi wanakua
Sisi ni Regnald wa miaka michache ijayo, hata kama unalala bila kula,
Vocha za bando la kuingia humu umeililia sana
Huna uwakika wa ada
Huna uhakika wa chakula chako au cha familia, kaza mwendo tutafika.
Sema
Sisi ni Renald Mengi wa Miaka michache ijayo
 
kwani huyo mzee kwa sasa analala chumba kimoja na nani baada ya kuacha kulala chumba kimoja na ngombe?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom