Recent content by ukaya kutali

  1. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwa baadhi yetu ni ngumu sana kumsahau your first love?

    Huko ni kujiendekeza Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Mi nlivunja ungo nikiwa mdogo sana,sasa mama alinidanganya,nikisex tu,eti yeye atakufa,na nikicheza na wavulana ntapata mimba,na kila nkiingia mwezini nmwambie,nsipomwambia yeye atakufa,basi kwa ujinga wangu ,nikawa naogopa sana mama angu kufa,nikawa sichez na boys,kila mwez nampa maza ripot ya...
  3. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kufuatilia kazi za mume anazofanya?

    Acha ubinafsi kaka ,maisha hayaend hvyo Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  4. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kufuatilia kazi za mume anazofanya?

    Ni haki yake kukuuliza,na hata wewe unahaki ya kumuuliza mkeo mapato yake, nyinyi ni mwili mmoja, mjuane vipato vyenu,ili muweze kupanga maisha yenu, ndo nyie mnathamini rafiki kuliko mke,rafiki anajua mali zako zotee ,ila mke hazijui so ukifa rafiki anajimilikisha vitu vyako kama vyake,huku...
  5. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu, yule mama jeuri wa Masasi girls amehamishwa.

    Mama Tesha huyo, ila alitusaidia sana kwa kweli ,aliinyoosha shule,yani ilikua kama shule ya private,walimu wanafundisha vzur ,chakula safi,mazingira safi ,na unaripoti shule tarehe ya kufungua shule,ukichelewa utarudishwa uje na mzazi wako,alikua hapendi ujinga huyu mama, alikua anaogopeka...
  6. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu: Kamanda Simon Sirro aapishwa kuwa IGP, amrithi Ernest Mangu

    Hahahhaahahah
  7. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

    Kijana mdogo, anakua boss anamiliki mjumba kama Hotel lakini hajulikani anafanya kazi gani
  8. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

    Tatzo hawaangalii vipaji bali wanatazama mwonekano wa mtu
  9. ukaya kutali

    JamiiForums Tanzania Halotel kuna unafuu baada ya Tigo kuleta uhuni university Offer

    Halotel wapo vizuri
Back
Top Bottom