Recent content by Uhakika Bro

  1. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania HOJA Vyombo vya Serikali vimejiridhisha na ubora wa wataalam wa nje waliopo katika migodi yetu?

    Isije kuwa ni expats tu na hata sio kabisa experts. Hao wote wapo na nadhani expat hahitaji qualification nyiiingi kama ilivyo kwa expert.
  2. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

    Ndio nnaiheshimu, na nnatambua kuwa hii ni moja ya faida zake
  3. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu huwa tunasubiri catastrophe ndo tuanze kuishi?

    Moja ya athari chanya za kuwaza kifo ni hizo. Mtu anaaza kufikiria namna ambayo mambo yanapendeza kuwa hata kama yeye hayupo. Yaaani anaanza kuitilia usiriazi legacy yake. Na kujitahidi kukamilisha yale ambayo anahiso ndo jukumu lake la msingi duniani
  4. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Watoto kuwahi shule alfajiri: je, ni mafanikio ya kielimu AU tishio kwa afya?

    Naunga mkono hii, Kupumzika vya kutosha waamke naturally sio kukurupushwa kila siku. Hata akili itakuwa sharp
  5. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Kuamsha mtoto saa 11.00 alfajiri kwenda shule ni ujinga na kutojali afya ya mtoto wako

    Kama tumeweza kuweka elimu ya msingi mwisho darasa la sita. Tunaweza pia kuamua masomo ni saa mbili kamili hadi saa nane hata na nusu. Watoto wawe na muda wa kutosha kupumzika. Actually akili na kumbukumbu inakuwa bora kwa mapumziko kamilifu. Kuwe na sheria inayoonesha muda wa kupumzika per day...
  6. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

    Anayeweza kujiuliza swali hili mara nyingi ana bhangi ya kutosha mwilini. Utafiti wangu tu. Anyway huwa tunaongeza quality ya kazi hivyo kila kesi inapata utofauti wake
  7. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Msaada Tank gani ni Bora, maana ugonjwa wa matank kuvuja ni Too much

    Plastiki wanaisema kuwa ni forever chemical, sasa iweje tena matanki yake yasidumu???? Ivi tuko siriazi. TBS? Na ni kweli matenki ni mabovumabovu ndio maana kazi ya kuziba matenki ni biashara maarufu tu kwa nn?
  8. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Masikini wote, Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana

    Nenda ukafanye case study jifunze Japan, Italy na nchi kibao tu za ulaya. Kwa asia nenda korea kusini. Utagundua kuwa ni tatizo gumu zaidi kudili na idadi ndogo kuliko kudili na idadi kubwa ya watu: fact
  9. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Stupid UN, badala ya kujadili ukosefu wa demokrasia, mauaji, udikiteita wa African presidents mnajadili ramani ya dunia! Shame upon you

    Kujadili ramani hakuondoi uwezo wala nafasi ya kujadili mauaji. Cha msingi tu ukweli na haki za msingi zisiachwe. Huwezi ambia mtu asiye na nguo eti asipambanie kununua shati ajikite na suruali tu! Wakati chochote hakiatgiri uwezo wa kutafuta kingine iwe ni shati, suruali, vesti hadi ch**pi...
  10. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Je Wizara ya Elimu imekosa Meno kuhusu Kasumba ya Madarasa ya Mitihani?

    Kupumzika muhimu ili akili iwe sharp, ona paka na simba wanapumzika wanalala sana ili wawe shapu kwenye uwindaji, lakini mbuzi na nyumbu kulala sio sana kila muda wanakimbiakimbia tu. Kumbukumbu na kuziweka sawa akili inakuja muda ambao umeipumzisha
  11. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

    Tangu helment yangu ya kwanza ya alfu 15 ikatike mkanda bila purukushani yoyote sinunui tena gear za kijinga..... japo naongea hivi niliyo nayo ni ya alfu 80 tu lakini si haba inazo sifa za kuitwa kofia ngumu
  12. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Huyu member Dennis Roberts aliyetangaza kugombea urais wa Tanzania ni mtu wa ajabu sana sio wa kawaida

    Na watu wapate protini, Je unajua kama kulingana na UN ulaji wa wadudu unafaa sana kwa kutosheleza mahitaji ya protini huku tukihifadhi mazingira https://sahili.net/wp/uncategorized/jinsi-ya-kufuga-panzi-parare-kibiashara/
  13. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA

    Mi natafuta maeneo huko huko boma lakini range ya bei itabidi tuondoe sifuri moja kwanza halafu ndio tukae kudiscuss
Back
Top Bottom