Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,154
- 13,377
Habari zenu?
Kiwanja kinauzwa 22X40 meters kina nyumba ya vyumba 3,na eneo limebaki wazi linatosha kujenga nyumba kubwa.
Kinatapatikana Bomang'ombe,Hai,Kilimanjaro.Nipo jirani na St.Dorcas Seminary.Huduma zote muhimu zipo maji,umeme na barabara.
Kina hati miliki
Bei ni 40,000,000/=Tsh
Nipo mbali nashindwa kupata picha.ila nyumba ya vyumba 3 mithili ya L.
Asante.
0713260027