Recent content by Ugumu wangu

  1. Ugumu wangu

    Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

    Kuna uzi nilisema mmarekani hawezi kosa silaha hii hata kidogo, japo huwa ni mzee wa kukana tu kila kitu, akiulizwa hata manati atasema ndio kwanza anataka aanze tafiti za kuunda manati
  2. Ugumu wangu

    Wanaharakati wanadhani Ku pinga kila kitu ndo uanaharakati hasa huko twitter, Au wanatafta pa kula?

    Ndio maana baada ya ile report niliona watu wapo kimya hata mzuka uliisha wa kutoa matamko
  3. Ugumu wangu

    Wanaharakati wanadhani Ku pinga kila kitu ndo uanaharakati hasa huko twitter, Au wanatafta pa kula?

    Maana kama file lilifichwa tumwombee laana alieficha ila kama lilifika meza kuu na wakalisoma na bado wakashipaza shingo basi tuwalaani hao, ila mimi namlaani mzee wa Lupaso hadi kesho ujeuri wake ndio uliofanya tufike hapa japo katikati aligundua akaanza kuunguruma ila alikuwa amechelewa
  4. Ugumu wangu

    Wanaharakati wanadhani Ku pinga kila kitu ndo uanaharakati hasa huko twitter, Au wanatafta pa kula?

    Nani alificha file la magufuli dakika za mwisho au halikumfikia mkuu?
  5. Ugumu wangu

    Milioni moja(1,000,000) kama kifuta jasho kwa atayenifanikishia ajira hii.

    Njoo pm kisha tuma cv zako ukipata kazi na ukashindwa kunipa milioni jua kuwa na kazi utaipoteza mda si mwingi
  6. Ugumu wangu

    Wewe utatembea umbali gani?

    Mie nafika Burundi kabisaa
  7. Ugumu wangu

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Nimesoma nikarudia tena, tena nikasoma na nikarudia tena, alafu nikasoma tena alafu nikapiga magoti na kusema Mungu mwenye nguvu ambae una sifa zote na hufananishwi na chochote simama nami usiku na mchana asubuhi hata jioni. Simama na ukoo wangu, simama na ndugu zangu, simama na watoto wa ndugu...
  8. Ugumu wangu

    Tuanze Maombi Maalum Kwa ajili ya Ben Saanane na Watesi wa Tundu Lisu

    Daaah sawa nitaongeza maombi hasa kwa rafiki yangu mmoja hivi
  9. Ugumu wangu

    Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

    Unalia nini rafiki, ulishindwa nini kutumia bahati ulioipata kwa mzee sita ukala mema ya nchi taratibu, hivi Kweli Makonda umesahau dagaa na mawese pale Kwembe?, umesahau siku unanishikilia nilipopata ajali ya kuchomwa na mti upendo wako huo uliiupeleka wapi hadi ukawa mtu usiefaaa...
  10. Ugumu wangu

    Moshi: Meya Juma Raibu ang'olewa kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani naye

    Chama gani nauliza lakini sio kwa ubaya👨‍🦯👨‍🦯👨‍🦯👨‍🦯
  11. Ugumu wangu

    Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

    Kwanza Injinia kabla sijakuteua ulikuwa wapi? Nilikuwa Marekani mheshimiwa, kwa hiyo Marekani ndio mlikuwa mnafanya upumbavu huu? "Alisikika jiwe mkuu wa malaika sasa"
Back
Top Bottom