Recent content by ugolo wa bibi

  1. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mimi nazalisha matofali kusubiri wateja: kwanini TANESCO haina vifaa vya mteja aliyelipia?

    Kiukweli tanesco wanakera Sana kwanza umeme wenyewe bei ghari japo wanajiita shirika la uma na ukiweza kulipia inabidi uwafutefuate utafikili unapewa bure
  2. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kula chakula hadharani kwa kuwa watu wengine wamefunga ni kukosa uhuru wa kuabudu

    naunga mkono hoja na kingine kuna watu bado wana amini kufunga ni kuto kula tu huko ni kujidanganya,funga inaambatana na mambo mengi sana...hakika mungu atusaidie
  3. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    hakika na kweli nakubaliana na mleta mada....kuwa upinzani nchii hii ni lazima ukubali kutelekeza familia maana lolote linaweza tokea muda wowote halafu unakuta kiongozi furani anasema ye anasikiliza wanyonge....kweli
  4. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kulipia Hotel/Lodge alafu binti hakutokea ukalala mwenyewe?

    haya ni makosa yetu wanaume we unaenda gest ya bei kubwa unafika na kulipia bila kuongozana na mlengwa wako unategemea nini huwezi kwenda machinjoni kwa nia ya kuchinja bila cha kuchinja,dawa ya mwanamke ni kuwa na akili zaidi yake...utafanikiwa,mi hata gest ya elfu tano lazima niwe naye...tena...
  5. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Flatei Massay Mbunge wa Mbulu Vijijini aruka sarakasi kwa furaha baada ya kukabidhiwa gari na Waziri

    hao ndio watunga sheria wetu....kazi ipo
  6. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tujifunze kuishi kwa taarifa sahihi ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwenye taifa letu

    ujumbe ni mzuri ila unawajua watanzania unao wapa ujumbe huu....maana watanzania ninao wajua mimi hawanaga muda wa kufikilia mtu we ukija na kande za maindi mabich unachukua unachotaka
  7. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo hufanana na dalili za magonjwa ya moyo

    nimependa sana mada hii na ni vizur mleta mada kututambulisha docta alie kusaidia kwani nacho kiona katika nchi yet ni kuwa kuna shida kubwa ya madocta yaani unakuta docta anakuandikia dawa kumbe sio ya tatizo ulilo nalo,ndio maana hata wewe docta wa kwanza alikungiza choo cha kike,magonjwa...
  8. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Sex Time: Nachukua muda mrefu kutosheka

    wala huna tatizo hilo ni jambo la kawaida kwa vijana wa miaka ya 80,leo vijana wengi hawana nguvu ndio maana wanashangaa ni kawaida sana...unacho takiwa kufanya ni kuahakikisha hupotezi nguvu zako kizembe
  9. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    natafuta wimbo wa baraka mwishehe...morogoro
  10. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Askari aliyetishia kuua yoyote atakayetokea mbele yake afariki daada ya kujeruhiwa

    hawa watu wacha wauwane wenyewe
  11. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    mbona kama kwenye mkondo wa maji
  12. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kumkomoa mpenzi wako pitia hapa...

    siku nyingine mleta mada kabla hujaleta pumba zako uliza kwanza ufanyeje yaani we kwa akili yako kumpiga mtungo dem ni kumkomoa...unajidanganya sana,kwa taarifa yako ukikutana na mwamnamke kichaa mnaweza piga mtaa mzima na dem akawa anachekacheka
  13. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria na kuolewa ili aweze kuendelea kuishi mjini

    sasa nimeamini ukionekana kwenye luninga na elimu yako ni ya darasa la saba haya ndio madhara yake,unafikili unaweza kuongea chochote na iko siku atatuambia ya chumbani
  14. ugolo wa bibi

    JamiiForums Tanzania Tuisaidie tasnia ya filamu Tanzania; njoo toa ushauri wako

    wakae mbali na siasa hasa za ccm,ndio zinazo wauwa
Back
Top Bottom