Recent content by UGANDA

  1. U

    Rais Samia nimekuangukia mguuni, keki ya birthday yako mpe Thadei Ole Mushi uokoe uhai wake

    TAARIFA KUHUSU HALI YA RAFIKI YETU THADEI MUSHI Tunayo furaha kuwajulisha kuwa hali ya kiafya ya rafiki yetu Thadei inaendelea vizuri. Tunasubiri taratibu za hospitali atakayoenda zikamilike ili tuweze kumsafirisha wiki hii hapa. Tunapenda kuishukuru kwa dhati kila mmoja wenu aliyechangia...
  2. U

    Mbunge Ummy Mwalimu achangia shilingi milioni sita na laki tatu (6,300,000/-) kuwezesha wajasiliamali na vijana Ngamiani kati

    MBUNGE UMMY MWALIMU ACHANGIA SHILINGI MILIONI SITA NA LAKI TATU (6,300,000/-) KUWEZESHA WAJASILIAMALI NA VIJANA NGAMIANI KATI. Mbunge wa Tanga Mjini, Mhe Ummy Mwalimu leo tarehe 16/07/2023 ametembelea Kata ya Ngamiani Kati ambapo pia amechangia kiasi cha shilingi milioni sita (6,000,000/-) kwa...
  3. U

    Ummy Mwalimu: Lengo la kufanya Private Clinic kwenye Hospitali za Umma ni kutoa motisha kwa Madaktari Bingwa

    MADAKTARI BINGWA KUTUMIA HOSPITALI ZA SERIKALI KUENDESHA PRIVATE CLINIC SIO JIPYA. LINA TIJA ; LITABORESHA HUDUMA KWA WANANCHI - UMMY MWALIMU Anaandika Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu akiwa Ziarani Mkoani Mkoani Shinyanga. Utaratibu wa utoaji huduma za afya baada ya masaa ya kazi...
  4. U

    Majukumu ya Kafulila ni kumsaidia Mwigulu Nchemba

    David Kafulila ameteuliwa Kuwa Kamishna Idara ya Ubia kati ya sekta ya Umma na sekta Binafsi ambayo ni miongoni mwa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango. Majukumu ya Idara ya PPP: 1. Kusimamia, kuchambua na kuzishauri Mamlaka za Serikali katika uanzishwaji, uchambuzi na utekelezaji wa miradi ya...
  5. U

    Tanzania inaongoza afrika mashariki kwa huduma bora za internet na bei ndogo

    Huu ni Utafiti uliofanyika hivi Karibuni na kubaini Afrika Mashariki kwa sasa ni Tanzania ndo inaongoza kwa huduma bora za Internet na zenye gharama Nafuu. Pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Pongezi kwa Wizara ya Mawasiliano chini ya Waziri Nape Nnauye na...
  6. U

    Mbunge Aeshi awaonya Mawaziri, alilia meli Ziwa Tanganyika

    Mbunge Aeshi awaonya mawaziri, ‘alilia’ meli Ziwa Tanganyika Na Mwandishi Wetu, Dodoma MBUNGE wa Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aeshi Hilaly amewaomba mawaziri kutokutumia kinga ya Rais kukweka kuelezwa udhaifu wao. Pia, ameitaka Serikali kuwatizama wananchi wa mikoa ya...
  7. U

    Bajeti ya Kilimo yamkuna Mbunge Ditopile, ampongeza Rais Samia

    BAJETI YA KILIMO YAMKUNA MBUNGE DITOPILE, AMPONGEZA RAIS SAMIA MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Mariam Ditopile ameimpongeza Serikali inayoongozwa na Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kwa kutenga bajeti ya kilimo inayokwenda kufanya mapinduzi kwenye sekta...
  8. U

    Mbunge Ditopile aongoza dua ya kumuombea Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
  9. U

    Al-Hajj Kinana ajumuika na Wanatanga katika futari ya pamoja

    Matukio katika picha. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Alhaj Abdulrahman Kinana, amejumuika na wananchi mbali mbali, viongozi, mabalozi, viongozi wa dini na wazee wa mkoa wa Tanga katika futari ya pamoja (leo) Jumapili 24 April 2022, iliyofanyika wilaya ya Korogwe. Makamu Mwenyekiti...
  10. U

    Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa wa Dodoma

    DITOPILE :RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA MKOA WA DODOMA MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa huo ambapo Vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kwa asilimia 20 ndani ya mwaka mmoja...
  11. U

    President Samia’s trip to Europe Timely and Strategic

    President Samia’s trip to Europe Timely and Strategic By Seleman Yusuph Kitenge The Momentum from 76th UNGA Speech Since her reigning to the country’s highest office in March 2021, President Samia Suluhu Hassan who is Tanzania’s first female president since independence has not only proven...
  12. U

    Shaka ahani msiba wa Mwele Malecela

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefika nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee John Samwel Malecela Sea View Upanga Dar es Salaam na kutoa pole kwa familia kufuatia...
  13. U

    Waziri Ummy adhibitiwe, Amewaruhusu wanafunzi wa Sekondari kuvaa sare za Shule ya Msingi! Anaharibu Elimu

    Nadhani hukumwelewa Waziri, au unafanya makusudi kupotosha Waziri Anasisitiza kuondoka vikwazo visivyo vya lazima kwa wanafunzi kuanza masomo yao. Maelekezo ya Waziri yanasema Kuhusu wanafunzi wa Kidato cha Kwanza, kila Mkoa unapaswa kuweka utaratibu wa kupokea Wanafunzi ikiwemo kuhakikisha...
  14. U

    Tanga: Waziri Ummy Mwalimu akagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Saruji, Kata ya Maweni

    MHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI Awapongeza Mkuu wa Wilaya na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kazi nzuri Viongozi waomba iwe Shule ya Wasichana na iitwe Ummy Mwalimu Secondary School. Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Nchi...
  15. U

    #COVID19 Fedha za Mpango wa Ustawi na Mapambano dhidi ya UVIKO-19

    Fedha za Mpango wa Ustawi na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 Anaandika Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu Ofisi ya Rais TAMISEMI tuliidhinishiwa jumla ya TZS bilioni 512.1. Kati ya hizi:- TZS bilioni 240 - kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 12,000 ya shule za sekondari TZS bilioni 60 - ujenzi wa...
Back
Top Bottom