Recent content by ugali dagaa

  1. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Dudi baya 3 dotto magari 0 (video)

    Ybwyb
  2. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Dudi baya 3 dotto magari 0 (video)

    Mamba24
  3. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Dudi baya 3 dotto magari 0 (video)

    huyu jamaa kwanza huwa anakuja kwenye 30 ya bongo flava kama nani? Siyo muimbaji anakuja kutoa maneno ya kebehi au dharau kwa ma legend wetu wa bongo flava na kujiongezea umaarufu binafsi angepigwa marufuku.
  4. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania waandishi wa habari kuwahoji watu kwa video call huku wakiendesha gari hii imekaaje

    salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
  5. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mishkaki kwa Vitoroli (Jero-jero)

    Huyu jamaa mwenye matusi kaharibu mada...hii biashara inalipa Kuna janja mmoja huwa anapaki posta Mpya dar es salaam pembeni ya wizard ya mambo ya ndani nilikaa naye mpaka akamaliza mzigo saa Tano usiku kisha akampigia simu mwenziye are na mkokoteni mwingine...nyie endeleeni na matusi pia...
  6. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania 30 ya bongo flava shikamoo Madee hii imeweza

    Madee fid q fanyeni marketing niko huku mpakani wanauliza t-shirt za famous zinapatikana wapi....
  7. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania 30 ya bongo flava shikamoo Madee hii imeweza

    Congratulations kwa Ubunifu, mzee umeweza tamasha lilianza kama utani mpaka limekuwa la kimataifa aliyekuja na idea ya kumleta cheeks ndiye kamaliza kabisa mpaka wizard ya utalii Kupitia ttb nao wameunga tela Leo nimeona mnaelekea azania bank dah akili nyingi chukua maua yako
  8. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Hata mimi wameni block ndio mana nawajazia nzi social media zote
  9. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Kuna mkataba na nililipia Bank kama unaweza kazi njoo pm maana wanaonekana ni wahuni sasa tu deal nao kihuni tu
  10. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Hawa jamaa wana ofisi zao Posta, wanadai wanaagiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia. Binafsi nimeagiza gari miezi tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo, nikienda ofisini naambiwa boss katoka. Nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye...
  11. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania mama atakuja kuanguka

    nimeangalia viongozi wengi wakiwa na vimo vifupi huwa wanatumia magari ya chini Hillary Clinton aliamua kutembea na kigoda kama picha inavyoonekana pichani, kigoda hiki humsaidi kupanda kwenye gari hizi za juu (SUV) mama yetu anapanda gari ya juu kwa shida, ushauri wangu atumie kigoda au awe...
  12. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyolipiza kisasi baada ya Kuliwa nauli (kisa cha Kweli)

    Kamaliza la saba na kafaulu
  13. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyolipiza kisasi baada ya Kuliwa nauli (kisa cha Kweli)

    Nilikwenda kumtembelea mwanangu shuleni mkoa fulani, nikakutana na walimu wake ili kutambuana na nilitambulishwa kwa mwalimu wake wa darasa, alinisalimia kwa uchangamfu wa hali ya juu na kiukweli ana sifa zote za kuitwa mwanamke mrembo niliomba mawasiliano yake kwa ajili ya “kufuatulia maendeleo...
  14. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Don’t say I didn’t warn you.
  15. ugali dagaa

    JamiiForums Tanzania Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali inayokuridhisha, ni. Ni muhimu kujua gari hilo liliingiaje nchini, hapa nazungumzia documents. Watumishi huwa ni...
Back
Top Bottom