Recent content by udongo mweusi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameongeza mishahara mara mbili ya Kikwete kwenye sekta muhimu

    Usijisumbue kuzungumzia mishahara watumishi wanajua cha kumfanya uchaguzi huu dawa ya moto ni moto miaka mitano bila bila
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha HIV (SD Bioline) kutokusoma hutokea katika hali hizi

    Nimetoka kumuuliza dokta anasema ni vigumu mtu aliyeathirika halafu kipimo kisisome yaani ni mmoja kwa mia
  3. U

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    The bold njoo huku
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

    Et wakuu mtu akiwa anatumia ARV akipima virusi havionekani
  5. U

    JamiiForums Tanzania SSRA, PSSSF sasa ruksa kutuibia

    ukiwa na miaka 60 hata upewe milion 200 bado hazikusaidii bora uzipate ukiwa kijana
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

    huyu makambako ni bwege kabisa, ngoja nimtafutie tusi
  7. U

    JamiiForums Tanzania Je, kuna unafuu wa maisha? Sema Ndiyo au Hapana

    hapana
  8. U

    JamiiForums Tanzania Akaunti za watumishi kutuna mwezi huu, na malimbikizo yote kulipwa??

    bado wiki tutajua tu
  9. U

    JamiiForums Tanzania Akaunti za watumishi kutuna mwezi huu, na malimbikizo yote kulipwa??

    innay ebu pendezesha taarifa yako na ka source kidogo tuzidi kufurahi
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ebu tupige hesabu kuhusu uhakiki wa watumishi

    na hizo wiki mbili sidhani kama kitaeleweka
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    mahaba yamekupofusha, ndo umeandika nini sasa
  12. U

    JamiiForums Tanzania Makosa yale yale kwenye elimu-maamuzi ya mtu mmoja

    wewe jibu hoja acha vitisho, kipi ambacho kimeandikwa kisichokuwa na ukweli, kwani mtu akifadhiliwa akafanya kitu chenye manufaa kwa taifa utakataa kisa kimetokana na ufazili
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ebu tupige hesabu kuhusu uhakiki wa watumishi

    hapana awamu hii tuko macho
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ebu tupige hesabu kuhusu uhakiki wa watumishi

    sasa ni takribani miez 5 tangu huu uhakiki wa watumishi uanze, takwimu zilizopo ni kwamba watumishi wapo lak 5 na kidogo, hii ina maana kwamba katika kila mwez mmoja wanahakikiwa watumishi laki moja tu nchi nzima, serikali tuwaambie tu sisi raia tunaona kwamba hiki ni kisingizio tu cha kuwanyima...
Back
Top Bottom