Recent content by Uchiwa nghambalu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

    149(1)(c) Mimi nimeelewa kwamba taarifa ya kujiuzulu inatokewa iwasilishwe bungeni, yaani kwenye mkutano/kikao cha Bunge
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Namba 6 na 7 ni mtu na mdogo wake? Hata hivyo namba 7 ni Waziri kwa hiyo hawezi kugombea nafasi hiyo.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendesha gari ukitoka bara unalipa $10

    Hata kwa upande wa ardhi ipo hivyo. Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar lakini Mzanzibari anaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika. Huu Muungano inabidi "ukapimwe mkojo" haraka sana![emoji16][emoji23]
  4. U

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Mali nyingi za Mitume na Manabii zimesajiliwa kwa majina yao binafsi wakidaiwa Kodi wanadai ni mali za Kanisa

    Ninachukia sana watu/waamini (hasa wa madhehebu) kumwamini mtu badala ya kuamini katika kitabu kitakatifu (biblia).
  5. U

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza aupamba ukurasa wa UDSM

    Nasikia mtamu kuliko hata asali yenyewe[emoji8]
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

    Kuandika kwenyewe hujui! Akili ya mchongo, uandishi wa mchongo! Nenda kwanza shuleni ndio uje kutoa mawazo hapa.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

    Muungano wetu ulilazimishwa na Marekani na Uingereza, someni historia kwa kuchimba mtajua.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Dodoma yaporomoka kimapato, yawa ya mwisho

    Nenda ukawekeze kwenu kwani nani alikuita Dodoma?! Kwenu mnakimbia halafu mnajifanya kubwabwaja hovyo!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Buchosa kuhamishiwa mkoa wa Geita kutoka Mwanza, sababu zimejaa siasa sana

    Hapana sio kilomita 430 bali ni 381
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Buchosa kuhamishiwa mkoa wa Geita kutoka Mwanza, sababu zimejaa siasa sana

    Hivi wewe unapajua kweli au unapasikia tu? Unajua Kaliua ipo upande gani wa Tabora? Unazungumzia kilomita 381 halafu unatuambia eti kilomita 10!
  11. U

    JamiiForums Tanzania DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

    Kama huna ushahidi na unachokisema ni vyema ukafunga domo lako lisitunukie
  12. U

    JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo: Tunaendekeza machinga mentality, tumeanza kuvuna mabua

    Amani Jidulamabambasi amefufukia JF?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

    Kwa hiyo Msemaji wa Ikulu hajui cheo cha Dkt. Albina Chuwa? Hili ni jambo la kushangaza kidogo! Hakuna Dkt. Albina Chuwa anbae ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali nchini.
Back
Top Bottom