Recent content by ubungo president

  1. ubungo president

    Rais Magufuli azindua magari 181 ya kusambazia dawa ya MSD

    mitazamo hutofautiana lakini utofauti huo ndio maendeleeo yaweza kuwa ni kwenda mbele au kurudi nyuma lakini hili la leo tunasonga mbele hivyo ni jambo la heri ingawa bado maboresho ya nyumba za wauguzi na mishahara pia hatua kwa hatua tutafika
  2. ubungo president

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    ipo haja ya kushirikishana mawazo tunahitaji kufika mbali zaidi ya hapa tulipo kwa maaana tupo nyuma ya wakati muda ndio huu lets walk together
  3. ubungo president

    IGP Mangu awasimamisha kazi askari polisi 12 wanaodaiwa kujihusisha na mihadarati

    Vita hii naona tofauti na maeneo mengine hususan nchi za nje sisi tunawasaka kwa taaa na vipaza sauti wenzetu wana deal nao kimyakimya anatafutwa chidi, anaeleza anapo nunua,wapi hadi mwishowe anapatikana PAPA wausambazaji nchini lakini sisi M! na ikiwezekana tuna adapt Formular ya Rodrigo...
  4. ubungo president

    Tanzania yatupilIa mbali madai ya Kenya kuhusu Amina Mohammed, yasema ilimuunga mkono kugombea AU

    Watanzania ni watu wakujishuku wakati wote mtu mwenye hulka hiyo atende/asitende yeye huwa na kiwewe hivyo watanzania tutawatuhumu Wakenya lakini sisi ni malofa na hili alisema Rais mstaafu Benjamin Mkapa kwa upande wa Wakenya sisi waafrika kukubali kwamba tumeshindwa ni ngumu sana hutafuta...
  5. ubungo president

    Hivi ni kwanini wanasiasa wanatumia lugha za kuudhi?

    hili halina upande wanasiasa wote wamekuwa na hulka hiyo hii ni kutokana uelewa wao kuwa mdogo lakini pia ikumbukwe kwamba inapotokea zaidi ya watu watano wote wakiwa na nafasi sawa au kuwa na tabia moja hata wakiwa wasomi huwa na matukio ambayo kwa kawaida huwezi kuamini kakma yanaweza kutendwa...
  6. ubungo president

    Gambia: Rais Barrow ateua Makamu wa rais Mwanamke

    lakini Bi Tambajang kikatiba hana sifa ya kuwa makamu wa Rais kwasababu umri wake umezidi miaka 65 ambapo kwamjibu wa katiba ya nchi hiyo kifungu 62 Ibara ndogo ya 1 (b) inaeleza kwamba nafasi hiyo inapaswa kushikwa na mtu alsiye zidi umri wa miaka 65 ambapo yeye(Tambajang) hivi sasa abamika 68
  7. ubungo president

    HAPA KAZI TU: Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yoyote

    hofu ya njaa ipo kwa kila raia nchini hususani maeneo ambayo mvua hainyeshi serikali ijipange kukabiri njaa ya mwisho wa mwaka huu hali itakuwa tete sana
  8. ubungo president

    Wa dada na dawa ya kurudisha heshima

    Naomba kutofautishiwa kati ya na hiyo shabu maana kunasiku nilipewa dawa ya jino nikaambiwa ni shabu lakini Ufilipino inapigwa marufuku yamkini ni Sembe hapa nazidi kuchanga .............. na ukiwa kama hawa dadaz wanatumia kujirejesha .........loading methamphetamine
  9. ubungo president

    Gereza la Guantanamo wakuu liko wap?

    Guntanamo Gereza liko Cuba,limejengwa na Mmarekani chini ya utawala wa Bush katika mwambao wa kusi/mashariki lengo kuu ni kuwafunga wahalifu wa ugaidi lakini kutokana na mateso yaliyokwenye gereza hilo Mashirika ua kutetea haki za binadamnu yalilipigia kelele lifungwe, Obama akaahidi kulifunga...
  10. ubungo president

    Yaliyojiri Mahakama ya Kisutu: Kesi ya ndugu Maxence Melo - Hatimaye apata dhamana

    mandela alisema nimejifunza kwamba shujaa sio yule asiye na hofu bali ni kuishinda hofu Mexence Melo unayo safari ndefu ya mapambano lakini lazima uamini kwamba wanadamu ni vigeugeu, unapoinza safari wanakutia moyo lakini inapofika wakati wa mafanikio wanainua vikwazo be strong
  11. ubungo president

    Gazeti la uhuru ( CCM): Mahakama ya mafisadi yakosa kesi za kusikiliza

    kwa maana hiyo Tuulizane tunawapiga dili wangapi nchini?
  12. ubungo president

    Mzungu amejenga dunia na kuweka ukomo wa binadamu kufikiri

    huenda kwakuwa mwandishi na mtunzi Henrik Johan Ibsen alizaliwa mwaka 1828 hivyo huenda aliyaona hayo hususan Afrika ambayo imepokea dini miaka ya 1870 na kuendelea hivyo inawezekana
Back
Top Bottom