Kamanda.
Kauli na mtazamo wako na jinsi ulivyovunja vunja na ulivyogawanya sio sahihi kabisa.
Ungekuwa umekitumikia chama au kupata uongozi fulani usingeweza kuwa na mtazamo kama huu.
Tofautisha maana halisi ya "Utiifu" na "Woga".
Hakuna zuri linakuja kupitia "Ubishi, kejeli au Kiburi"...
Kama haya ni kweli basi tunaweza kubashiria ndio mchakato na changamoto la kurudisha "Ubinaadamu" kwenye Chama Cha Mapinduzi.
Sio vurugu, ni vugu vugu. Sharti ya dawa lazima uitingishe kabla hujanywa.
Tunafikiria, ni yamepangwa? political wrestling, mashindano ya kirafiki, format hii ipo...
Mabadiliko yanayotarajiwa ni kujua majukumu yana upana gani na ni nani atayeyabeba majukumu hayo na kwenye ngazi zipi, ndio vyeo vinavyozungumziwa. Kwa kifupi ni namna ya kugawanya majukumu kwa nia ya kutoa huduma bora kwa wananchi, yaani ni kutobebeshana majukumu, vyeo vitakuwa vingi...
Makomanda wenzangu wa mitandaoni, hili sio suala na mtu binafsi, vilio vya Afrika tunavisikia kuanzia Sudan ya Kusini, Misri, Angola, Ethiopia, Somalia nk.
Kuna wenye hali mbaya kuliko hapa kwetu Tanzania.
Na sio kama hatujui wala hatujaupitia au kuutumia mfumo huu wa njia za panya za...
Nyuzi kama hizi ni sawa na kuwafundisha Waafrika kuwa Watumwa bila minyororo.
Mnatukumbusha kauli za Kamuzu Banda na Mabutu Seseseko, leo hii Malawi ndio imetoa wafanyakazi wa nyumbani wa kiume (foreign male domestic workers) kuliko nchi nyingine Afrika.
DRC ni katika nchi tajiri Afrika hii...
Asante kwa mtazamo wako.
Mitandao ya habari za uongo.
Wanaandika ni Wanaijeria. Kuna shule maalumu za kujifundisha uongo na utapeli huko Naijeria, ikiwa pamoja na kutengeneza umaarufu wa mtu, mwanasiasa na mhubiri wa dini au mfanya biashara au anayetafuta mchumba nk.
Mitandao mingi ya kijamii...
Reformation ya Chama au WanaChama?
Chama=Sera.
WanaChama=Maadili.
Muongozo na Falsafa za CCM hazijabadilika. Maadili ya wanaChama ndio yanabadilika. Ndio maana hatuna shaka na Chama chenyewe, na jinsi tunavyoijua kwa kina nchi yetu na Bara hili.
Kuifananisha CCM na British Empire, British...
Maisha ya awali na baadae ya Bwana Desmond Tutu, yanaeleweka vizuri.
Usalama wa Taifa wa Zimbabwe, waliwadhibiti sana viongozi wa kidini, na hata yule Evan Mawarire (kimbembele mwingine). Imedhibitika uhusiano wao na majasusi wa nje wenye nia ya kutimiza matakwa ya mabepari ya kubadilisha...
Wakati Somalia, Congo au Libya tunasikia ni sehemu hatari sana, kwa ukweli wa mambo ndio sehemu unaweza kutembea na pesa mfukoni bila kuogopa kuibiwa. Vyombo vya habari haviaminiki haswa BBC yetu hii.
Hata Uingereza kuna vibaka wa Kimataifa, ngwara, visu na ubakaji na hata Tony Blair kuliinua...
Wangekuwa ni Waislam wamesimama kwenye majukwaa na kuingilia masuala ya siasa, tayari wangehusishwa na uhaini au vikundi vya kigaidi hata kufunguliwa kesi za feki na kunyimwa dhamana. Ikiwa na pamoja na kujipendekeza Magharibi kuomba pesa za kupigana na ugaidi.
Tokea awamu ya 4 mpaka hii ya 5...
"If anyone thinks he is religious and does not bridle his tongue but deceives his heart, this person's religion is worthless." - James 1:26.
Wote tunaijua Biblia vizuri sana.
We spent half of our lives studying, researching... please do not insult our Intelligence. Was that a wrist blowing or...
Amnesty International imeshatuweka tayari kwenye macho yao na orodha ya nchi zinazogandamiza wananchi wake. Hii ni aibu na itatuletea madhara sana kwa sasa na kizazi kijacho. Mojawapo, hotuba au sauti zetu tutakapo zitoa kwenye Jamii ya Kimataifa ikiwa pamoja na Umoja wa Kinataifa...
Malalamiko ya wananchi wengi ni sawa na usemi ule "Dua ya kuku haimpati mwewe".
Kama ukuta huu wa JF ungeweza kuzungumza, ungesema jinsi hasira za wananchi wanavyomalizia kwenye kuta hizi.
Siri tunayoibashiria Serikali ya awamu 5. Kwanza tunaona muongozo wa Awamu ya 1 kabla kuruhusiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.