CCM ni chama kilichojaa watu waoga

CCM ni chama kilichojaa watu waoga

Kwa ivo Mbowe kutokuwa Mwenyekiti ndiyo kipimo kwamba wapo wanaompinga ndani ya CHADEMA? kwanza Mbowe hugombea na wengine Mwenyekiti wa CCM huguombea na nani?

Kweye Mkutano Mkuu wa CCM Mwaka 2002 mjumbe Toka Tanga aliuliza ni kwa nini anayeomba Uenyekiti hakuomba kura yeye mwenyewe badala yake anaombewa na watu wengine? Kilichofuatia hapo alilazimishwa kuomba radhi mpaka alipookolewa na aliye kuwa Katibu mwenezi taifa. Mpaka leo CCM hairuhusu kuwa na uchaguzi wa Mwenyekiti wa taifa wa chama chao na hakuna wa kuhoji!!
Ccm kwishneiiiiiiii
 
Sisemi watu wote CCM ni waoga bali wengi wao tena wako wengi hasa ni watu waoga!! Tangu Enzi chama hicho kinaundwa, uundwaji wake ulifanyika kwa maamuzi ya watu wachache (Aboud Jumbe na Nyerere) wanachama wa TANU na ASP walihusishwa baadaye na hasa baada ya makubaliano ya kuhakikisha kwamba neno "Mapinduzi" litakuwemo kwenye jina la chama kipya CCM. Waliokuwepo walikuwa waoga hawakuhoji na wakapandikiza roho ya hofu kwenye chama chao ambayo ipo mpaka leo.

Kwenye CCM viongozi wana "akili nyingi" sana na hawatakiwi kuhojiwa na wanaojaribu kuhoji ni lazima washikishwe adabu. Utaona mtu yule yule ambaye alikuwa anakosolewa kabla ya kuwa na cheo, akipata madaraka inakuwa ni mwiko kukosolewa. Kwenye CCM mambo yanayotokea kwenye vyama vya upinzani hayawezi kutokea ndani ya chama hicho kwa kuwa kimejaa watu waoga!!

Kinachotokea CUF kwa Katibu Mkuu na Mwanachama wao aliyefukuzwa Ibrahimu Lipumba kulumbana hadharani hakiwezi kuvumiliwa ndani ya CCM na mara zote anayeadhibiwa ni yule mwenye cheo kidogo kuliko mwenzake! Tatizo siyo adhabu bali mara zote adhabu zenyewe huwa za kiuonezi na hakuna anayethubu kusema kwama ni uonevu.

Yale ya Jakaya Kikwete kuja na Majina ya wateule wake kwenye kikao cha uteuzi wa Mgombea urais kupitia chama hicho, isingewezekana kwenye vyama vya upinzani, lazima angepingwa kwenye kikao na nje ya kikao na wanachama wenzake. Woga wa wananchama wa CCM umesababisha ionekane kwamba viongozi wa CCM wana akili kuliko wanachama wake wa kawaida.

Wakati Humphrey Polepole akitangaza kwamba Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa "kauli moja" imeunga mkono mapendekezo yote ya Kamati Kuu ya chama hicho, nikajiuliza hicho kikao cha Halmashauri Kuu hakikuwa na wajumbe wenye mawazo tofauti na yale ya Kamati Kuu? Lakini kumbe waliokuwa na mawazo tofauti tayari walikuwa wameshashughulikiwa!!

Hiki chama kilichojaa watu waoga kwa bahati mbaya ndicho kinachoongoza serikali ya nchi yetu, bila shaka na chenyewe kitataka kujenga hofu kwa watanzania wote na wao wakiogope. Hofu ina tabia ya kuambukiza na wanaotaka watu wawe na hofu hulazimisha hofu kutamalaki pale sauti za kuwapinga zinapoongezeka!!
Sadam husein alivyo chukua nchi alianza kupiga watu risasi kwenye mkutano wake,ukitaka kutawala muda mrefu unajaza watu hofu ili wasikuhoji ukikosea,kinacho endelea ni kutisha, kufunga, kushtaki,kutaifisha mali ili kujenga mazingira ya utawala wa kiimla,tuko kwenye awamu ya pili ya kubadili katiba itaanza ya chama kisha ya nchi,wenye akili wanaona hofu kwa wafanya biashara , wanasiasa,viongozi wa dini,media n.k.
 
Kwa ivo Mbowe kutokuwa Mwenyekiti ndiyo kipimo kwamba wapo wanaompinga ndani ya CHADEMA? kwanza Mbowe hugombea na wengine Mwenyekiti wa CCM huguombea
Kwe
Mbowe aligombea na nani? Kwa nn mliwafukuza kina zitto na wenzake? Wanafata katiba yao, atakaepitishwa kuwa rais ndo mwenyekiti moja kwa moja, nyie mwenyekiti kukaa zaid ya miaka 10 is it fair? Acheni UNAFIKI
 
Kwahiyo ccm inawaiga cdm?kubali basi kuwa cdm ni baba ya siasa hapa tanzania
KHahaaa, baba wa siasa? Nyie mmeiga vingapi kutoka ccm? Mmebeba hadi visivyobebwa, hakuna jipya kusema eti cdm ndo waanzilishi wa kufukuza wanachama, bali kila chama kina kanuni na taratibu zake usipozifata lazima adhabu ikukute, kaangalie katiba yao uone adhabu za kukosa maadili na usaliti,
 
Sadam husein alivyo chukua nchi alianza kupiga watu risasi kwenye mkutano wake,ukitaka kutawala muda mrefu unajaza watu hofu ili wasikuhoji ukikosea,kinacho endelea ni kutisha, kufunga, kushtaki,kutaifisha mali ili kujenga mazingira ya utawala wa kiimla,tuawamu ya hofu kw
Uongo wa hali ya juu, 93 Bill clinton akifukuza wanasheria wa majimbo wote wanaotokea upinzani, see how trump is doing, kuna utawala wa kiimla kule?
 
KHahaaa, baba wa siasa? Nyie mmeiga vingapi kutoka ccm? Mmebeba hadi visivyobebwa, hakuna jipya kusema eti cdm ndo waanzilishi wa kufukuza wanachama, bali kila chama kina kanuni na taratibu zake usipozifata lazima adhabu ikukute, kaangalie katiba yao uone adhabu za kukosa maadili na usaliti,
Naona umesha jijibu swali lako asante kwa kunielewa ila ukweli unabakia palepale kuwa ccm imebakia Dodoma
 
Kwa ivo Mbowe kutokuwa Mwenyekiti ndiyo kipimo kwamba wapo wanaompinga ndani ya CHADEMA? kwanza Mbowe hugombea na wengine Mwenyekiti wa CCM huguombea na nani?

Kweye Mkutano Mkuu wa CCM Mwaka 2002 mjumbe Toka Tanga aliuliza ni kwa nini anayeomba Uenyekiti hakuomba kura yeye mwenyewe badala yake anaombewa na watu wengine? Kilichofuatia hapo alilazimishwa kuomba radhi mpaka alipookolewa na aliye kuwa Katibu mwenezi taifa. Mpaka leo CCM hairuhusu kuwa na uchaguzi wa Mwenyekiti wa taifa wa chama chao na hakuna wa kuhoji!!
unaandika ukijua unavyoandika cdm ndio basics, Rudini kwenye chama chenu mfanye matengenezo.
 
Sisemi watu wote CCM ni waoga bali wengi wao tena wako wengi hasa ni watu waoga!! Tangu Enzi chama hicho kinaundwa, uundwaji wake ulifanyika kwa maamuzi ya watu wachache (Aboud Jum
Kwenye CCM viongozi wana "akili nyingi" sana na hawatakiwi kuhojiwa na wanaojaribu kuhoji ni
lazima washikishwe adabu. Utaona mtu yule yule ambaye alikuwa anakosolewa kabla ya kuwa na cheo, akipata madaraka inakuwa ni mwiko
kukosolewa. Kwenye CCM mambo yanayotokea

kwenye vyama vya upinzani hayawezi kutokea ndani ya chama hicho kwa kuwa kimejaa watu waoga!!Kinachotokea CUF kwa Katibu Mkuu na Mwanachama wao aliyefukuzwa Ibrahimu Lipumba kulumbana hadharani hakiwezi
kuvumiliwa ndani ya CCM na mara zote anayeadhibiwa ni yule mwenye cheo kidogo kuliko mwenzake! Tatizo siyo adhabu bali mara zote
adhabu zenyewe huwa za kiuonezi na hakuna anayethubu kusema kwama ni uonevu.
Yale ya Jakaya Kikwete kuja na Majina ya wateule wake kwenye kikao cha uteuzi wa Mgombea urais kupitia chama hicho, isingewezekana kwenye
vyama vya upinzani, lazima angepingwa kwenye
kikao na nje ya kikao na wanachama wenzake. Woga wa wananchama wa CCM umesababisha ionekane kwamba viongozi wa CCM wana akili kuliko wanachama wake wa kawaida.
Wakati Humphrey Polepole akitangaza kwamba Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa "kauli moja" imeunga mkono mapendekezo yote ya Kamati Kuu ya chama hicho, nikajiuliza hicho kikao cha Halmashauri Kuu hakikuwa na wajumbe wenye
mawazo tofauti na yale ya Kamati Kuu? Lakini kumbe waliokuwa na mawazo tofauti tayari walikuwa wameshashug
Kuliko uoga uliojaa cdm? Nani wa kumpinga mbowe? Kuna uhuru gani vyama vya upinzani? Unataka wasitumie katiba yao sheria zao na kanuni zao kwa watenda makosa eti kinaitwa chama cha waoga? Mlipowafukuza kina zito mlisema ni chama cha kioga? Nyie ndo waoga wa mabadiliko yanayotaka kufanyika CCM kuweni wakweli, mlizoea kuisema CCM kwa machafu sasa kikisafishika mtakisema kwa lipi? Huo ndo uoga wenu, badilisheni siasa zenu
 
Sisemi watu wote CCM ni waoga bali wengi wao tena wako wengi hasa ni watu waoga!! Tangu Enzi chama hicho kinaundwa, uundwaji wake ulifanyika kwa maamuzi ya watu wachache (Aboud Jumbe na Nyerere) wanachama wa TANU na ASP walihusishwa baadaye na hasa baada ya makubaliano ya kuhakikisha kwamba neno "Mapinduzi" litakuwemo kwenye jina la chama kipya CCM. Waliokuwepo walikuwa waoga hawakuhoji na wakapandikiza roho ya hofu kwenye chama chao ambayo ipo mpaka leo.

Kwenye CCM viongozi wana "akili nyingi" sana na hawatakiwi kuhojiwa na wanaojaribu kuhoji ni lazima washikishwe adabu. Utaona mtu yule yule ambaye alikuwa anakosolewa kabla ya kuwa na cheo, akipata madaraka inakuwa ni mwiko kukosolewa. Kwenye CCM mambo yanayotokea kwenye vyama vya upinzani hayawezi kutokea ndani ya chama hicho kwa kuwa kimejaa watu waoga!!

Kinachotokea CUF kwa Katibu Mkuu na Mwanachama wao aliyefukuzwa Ibrahimu Lipumba kulumbana hadharani hakiwezi kuvumiliwa ndani ya CCM na mara zote anayeadhibiwa ni yule mwenye cheo kidogo kuliko mwenzake! Tatizo siyo adhabu bali mara zote adhabu zenyewe huwa za kiuonezi na hakuna anayethubu kusema kwama ni uonevu.

Yale ya Jakaya Kikwete kuja na Majina ya wateule wake kwenye kikao cha uteuzi wa Mgombea urais kupitia chama hicho, isingewezekana kwenye vyama vya upinzani, lazima angepingwa kwenye kikao na nje ya kikao na wanachama wenzake. Woga wa wananchama wa CCM umesababisha ionekane kwamba viongozi wa CCM wana akili kuliko wanachama wake wa kawaida.

Wakati Humphrey Polepole akitangaza kwamba Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa "kauli moja" imeunga mkono mapendekezo yote ya Kamati Kuu ya chama hicho, nikajiuliza hicho kikao cha Halmashauri Kuu hakikuwa na wajumbe wenye mawazo tofauti na yale ya Kamati Kuu? Lakini kumbe waliokuwa na mawazo tofauti tayari walikuwa wameshashughulikiwa!!

Hiki chama kilichojaa watu waoga kwa bahati mbaya ndicho kinachoongoza serikali ya nchi yetu, bila shaka na chenyewe kitataka kujenga hofu kwa watanzania wote na wao wakiogope. Hofu ina tabia ya kuambukiza na wanaotaka watu wawe na hofu hulazimisha hofu kutamalaki pale sauti za kuwapinga zinapoongezeka!!

Kamanda.
Kauli na mtazamo wako na jinsi ulivyovunja vunja na ulivyogawanya sio sahihi kabisa.

Ungekuwa umekitumikia chama au kupata uongozi fulani usingeweza kuwa na mtazamo kama huu.

Tofautisha maana halisi ya "Utiifu" na "Woga".

Hakuna zuri linakuja kupitia "Ubishi, kejeli au Kiburi". Hata sinema zote za Hollywood zinaonyesha mtu mbaya mwisho wake hushindwa.

Kuna usemi Wazungu wanapenda kusema "Ukifukuzana na kila mbwa anayebweka barabarani, hautafika safari yako"

36bf9f7b099996baa13653dff679a202.jpg
 
Uongo wa hali ya juu, 93 Bill clinton akifukuza wanasheria wa majimbo wote wanaotokea upinzani, see how trump is doing, kuna utawala wa kiimla kule?
Aliwashtaki wenyemidia,wanasiasa na wanachama wa democrat pia?bila shaka aliwashutaki wapinzani pia,ukipenda chongo ni kengeza.
 
Sisemi watu wote CCM ni waoga bali wengi wao tena wako wengi hasa ni watu waoga!! Tangu Enzi chama hicho kinaundwa, uundwaji wake ulifanyika kwa maamuzi ya watu wachache (Aboud Jumbe na Nyerere) wanachama wa TANU na ASP walihusishwa baadaye na hasa baada ya makubaliano ya kuhakikisha kwamba neno "Mapinduzi" litakuwemo kwenye jina la chama kipya CCM. Waliokuwepo walikuwa waoga hawakuhoji na wakapandikiza roho ya hofu kwenye chama chao ambayo ipo mpaka leo.

Kwenye CCM viongozi wana "akili nyingi" sana na hawatakiwi kuhojiwa na wanaojaribu kuhoji ni lazima washikishwe adabu. Utaona mtu yule yule ambaye alikuwa anakosolewa kabla ya kuwa na cheo, akipata madaraka inakuwa ni mwiko kukosolewa. Kwenye CCM mambo yanayotokea kwenye vyama vya upinzani hayawezi kutokea ndani ya chama hicho kwa kuwa kimejaa watu waoga!!

Kinachotokea CUF kwa Katibu Mkuu na Mwanachama wao aliyefukuzwa Ibrahimu Lipumba kulumbana hadharani hakiwezi kuvumiliwa ndani ya CCM na mara zote anayeadhibiwa ni yule mwenye cheo kidogo kuliko mwenzake! Tatizo siyo adhabu bali mara zote adhabu zenyewe huwa za kiuonezi na hakuna anayethubu kusema kwama ni uonevu.

Yale ya Jakaya Kikwete kuja na Majina ya wateule wake kwenye kikao cha uteuzi wa Mgombea urais kupitia chama hicho, isingewezekana kwenye vyama vya upinzani, lazima angepingwa kwenye kikao na nje ya kikao na wanachama wenzake. Woga wa wananchama wa CCM umesababisha ionekane kwamba viongozi wa CCM wana akili kuliko wanachama wake wa kawaida.

Wakati Humphrey Polepole akitangaza kwamba Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa "kauli moja" imeunga mkono mapendekezo yote ya Kamati Kuu ya chama hicho, nikajiuliza hicho kikao cha Halmashauri Kuu hakikuwa na wajumbe wenye mawazo tofauti na yale ya Kamati Kuu? Lakini kumbe waliokuwa na mawazo tofauti tayari walikuwa wameshashughulikiwa!!

Hiki chama kilichojaa watu waoga kwa bahati mbaya ndicho kinachoongoza serikali ya nchi yetu, bila shaka na chenyewe kitataka kujenga hofu kwa watanzania wote na wao wakiogope. Hofu ina tabia ya kuambukiza na wanaotaka watu wawe na hofu hulazimisha hofu kutamalaki pale sauti za kuwapinga zinapoongezeka!!
Hebu jaribu kuhoji muuza ngada Mbowe ataachia lini uenyekiti,.

Utafukuzwa kama zito
 
mitale na midimu andika ueleweke. Mbowe kwa chochote anachofanya anapingwa na kuna watu huwa wanamwambia uso kwa uso kwamba anakosea. Kwenye CCM inawezekana kumwambia Mwenyekiti wa taifa kakosea?

hii takatakata imetokea wapi?

na wakimpinga huwa nini kinatokea?

lowassa angekuwa mwoga alipokuwa ccm asingeondoka

revise your theory

vyama vyote tanzania viko sawa, you will be safe thinking this way
 
Back
Top Bottom