Recent content by ubalozi2017

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hata mm nitakupigia nikitafuta masoko Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Umemshauri vizuri,ila amesema hataki faida kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. U

    JamiiForums Tanzania Sielewi neno Utakatishaji

    Nimekuelewa vyema
  4. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la kuku wa kienyeji Tanga, Arusha na Dar

    Hahaa umekatishwa tamaa na majibu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    JamiiForums Tanzania Lugha na maandishi ya vijana wa leo

    Naona kama ujinga flani hasa hizo XXX ndo kabisaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. U

    JamiiForums Tanzania Sijui ni lini Tanzania yangu nayo itaingia katika hili Kundi la nchi makini na zenye mvuto wa Kibiashara Ulimwenguni

    Inabidi tujue wao wanafanyaje na sisi tunakosea wapi ili tujifunze kupitia wao
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Neville Meena ni mgonjwa, yuko ICU Muhimbili

    Kama mm pia sipendagi
  8. U

    JamiiForums Tanzania Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Thanks nimekupata vyema Sent using Jamii Forums mobile app
  9. U

    JamiiForums Tanzania Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Wanapoangalia hivyo vigezo na kizipa hotel nyota inamaana nyota 1 ni bora kuliko 2 au wana maana gani wanaposema 5 stars hotel au 8?? Naomba mwongozo? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. U

    JamiiForums Tanzania Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Sawabho kweli umeitendea haki elimu yako asante kwa darasa zuri kwa upande wangu sikuwa naelewa tofauti ya logde,inn, motel zote nilikuwa naona nyumba za wegeni kulingana na pesa yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. U

    JamiiForums Tanzania Bendera zinazokaa mbele ya mahoteli makubwa zina maana gani?

    Umejibu vyema Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Nenda ofisi za halmashauri hapo mkuranga kaulizie ofisi za kilimo wakupe taratibu za kuwauzia wachina hiyo mihogo apo ulipo wakufuata wao
  13. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Kikuu wanasumbua kwenye derivery kama mzigo ulioagiza sio wenyewe rudisha office zao ziko pale Shoppers plaza.watakubadilishia kwa kuagiza upya.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nikila chakula nadondoshadondosha kama mtoto mdogo

    Kula kwa kijiko na usijaze sana weka kiasi kama,,kama ni ugali kata tonge la wastani pia meza kwanza kabla ya kuweka chakula kingine mdomoni. Kwa habari ya usafi unaishi mwenyewe safisha geto lako kila jmoss au pili unapotoka job. Alafu hizi ni tabia zinaanza tangu udogoni fundisha na watoto...
Back
Top Bottom