Recent content by tzpatriotist

  1. T

    Line za Wakala zinapatikana kwa bei chee

    Aaaah okay nashukuru Kwa maelekezo but makadirio yake hapo TRA kwa experience yako huwa wanaangalia kiasi cha pesa unachokuwa unaweka kwenye Float au ni vp hapo naomba msaada zaidi coz I want to go over seriously with this business!
  2. T

    Godfrey Mheluka ateuliwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Wazazi Tanzania

    Alikuwa mgombea wa Udiwani Kata ya Kimara ...Baruti
  3. T

    Line za Wakala zinapatikana kwa bei chee

    Okay naomba maelekezo ya ziada naanzaje kupata hiyo leseni ya biashara coz hivyo vingine ninavyo vyote sema imebaki hiyo tu!
  4. T

    Hakika Kwa Haya Matukio Yafuatayo Ni Rasmi Nimeamini Kuwa....

    Watanzania tumeshampa support sana sa unataka tufanye nini ili ujue tumemsapoti?
Back
Top Bottom