Line za Wakala zinapatikana kwa bei chee

Okay naomba maelekezo ya ziada naanzaje kupata hiyo leseni ya biashara coz hivyo vingine ninavyo vyote sema imebaki hiyo tu!
 
Nenda ofisi za manispaa yako watakupa form ya kujaza kwa Tsh 1000 then utaenda TRA iliyo ndani ya manispaa yako kwa ajili ya makadirio.
 
Aaaah okay nashukuru Kwa maelekezo but makadirio yake hapo TRA kwa experience yako huwa wanaangalia kiasi cha pesa unachokuwa unaweka kwenye Float au ni vp hapo naomba msaada zaidi coz I want to go over seriously with this business!
 
Tigo pesa 200,000
Mpesa 100,000
Airtel money 70,000​
Kaka hizo line unazo kwa muda mmalum au huwa unafanya biashara ya namna hizo?????? maana nina plan ya kukutafuta in a near future kama bado utakuwa katika hiyo business tufanye biashara
 
Nenda ofisi za manispaa yako watakupa form ya kujaza kwa Tsh 1000 then utaenda TRA iliyo ndani ya manispaa yako kwa ajili ya makadirio.
zipo kila siku ila bei zinabadilika badilika sio constant esp tigo pesa
Kaka hizo line unazo kwa muda mmalum au huwa unafanya biashara ya namna hizo?????? maana nina plan ya kukutafuta in a near future kama bado utakuwa katika hiyo business tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom