TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Godfrey Mheluka (pichani) ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania wa Tanzania Bara.
Bwana Mheluka anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndg Luoga ambaye aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Tarime.
Mwenyekiti wa wazazi Al-haj Abdallah Bulembo amemteua jana na akathibitishwa na baraza kuu la wazazi linaloendelea na kikao chake mjini dodoma.