GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Watanzania TUNA ROHO YA WIVU a.k.a NONGWA Na Vile Vile HATUPENDANI Na Tumejaa Roho Ya UNAFIKI Na Tukitoa PONGEZI Basi Ujue Ni Za KUSANIFU Tu.
- Kitendo Cha WAZAZI Wa Mbwana Samata KUTOKUPEWA HESHIMA Pale JNIA Hadi KUKALISHWA Ktk Ngazi.
- Kitendo Cha Mbwana Samata Kutopewa Hadhi Ya Ki VIP Wakati Anawasili JNIA.
- Kitendo Cha WATANZANIA Kutojitokeza Kwa Wingi KUMLAKI Kwa Kutoa Visingizio Vya KIPOPOMA.
- Mpaka Hivi Sasa Mbwana Samata KAPONGEZWA Na Wachezaji Watatu ( 3 ) Tu Wa TANZANIA.
- Tanzania Kama Tanzania Bado Hatujamtendea Vyema Na Inavyostahili Mbwana Samata.
- Media Za Tanzania HAZIJAMFANYIA Promo Ya Kutosha Bali Zinamtumia Tu Kwa FAIDA Zao Za Kimaslahi.
- Kuna Watu WANAKESHA Kumfanyia " Mizizology " 24/7 Ili Asifanikiwe Ndiyo Maana Kesho Anatambikiwa.