Recent content by Tzmzalendo og

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Sawa mkuu tunasubiri hiyo feedback
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Itakuwa walipoteza smartphone zao, But hope mambo yalienda vzr japo ufugaji una challenges nyingi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Aibu: Tanzania yashika Mkia Elimu ya Juu Afrika Mashariki. Ili Kufuta Aibu Serikali yatenga Bil.972 kuongeza Udahili

    Kwa mwenye uwezo wa kutafuta idadi ya university dropout mwaka huu atuwekee mkeka, mikopo ya elimu ya juu 2021 haina tija, 90%+ hawakupewa pesa ya field study na research, no special faculty, no books and stationery, ada kiduchu halafu mnawaza kiwango cha elimu kipande (ubora) wakati wanafunzi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Suphian agombea CCM-Taifa, atia msumari suala la Ngorongoro, waraka wa Rais Samia

    Kenge anakimbia mvua huku akikimbilia mtoni 😂😂😂
  5. T

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame ni nani EAC? Hii jeuri ya kujiamini hivi anaitoa wapi?

    Putin of Africa 💪🏿
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya mkurugenzi TIC na Maliasili kuondolewa kwenye Ajira Portal

    Zishapata wenyewe😂
  7. T

    JamiiForums Tanzania Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

    Ilitokea tuu mtu alikuw alipata chimbo, akanishilikisha , tumeyapata ya kutosha but sikuw nishafanya research ya soko as imekuw kama zali tuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

    Shukran ndugu yangu 🙏🏾 Kwa kunialoccate
  9. T

    JamiiForums Tanzania Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

    Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
  10. T

  11. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

    Kwel, na awalaani nyani weusi wote 😂
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Vip ameidunda au ndo anasema hatak kupoteza wanajesh wake😂😂
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msikilize mgombea Uspika wa Mchongo akiomba kura. Ashindwa kujibu swali la Esther Bulaya

    Tayali kashakuchukua kitambo, huon akili yako ilivyotawaliwa😂😂
  14. T

    JamiiForums Tanzania Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    HAlafu wapinzan wenyewe ndo hawa😂😂, bangi tupu😂😂
  15. T

    JamiiForums Tanzania Sugu: Walevi wasusie kunywa Bia kwa siku kadhaa na ikibidi wanywe pombe za kienyeji ili serikali ikose mapato kama hasira za kudai Katiba mpya

    Tatzo Nyumbu wanatengeneza maadui kila kona, mm kama mlevi tayar kashanikosa kuwa mfuasi wa😆
Back
Top Bottom