Habari wakuu,niliwahi kuja hapa katika uzi huu kuomba msaada,nilisaidiwa kimawazo hata kwa kifedha pia,nawashukuru wote mlioguswa na tatizo langu(ilikua 2016) ila kwa mrejesho chuo nilimaliza na kazi nimepata namshukuru M,Mungu!!na naendelea vizuri tu!Mungu awazidishie mlichonacho na awaongezee...
Direct Entry (Form VI) Qualifications
A principal pass in Mathematics
and
a principal pass in either Physics or Chemistry
or Geography or Computer Science. If one of the principal passes is not Physics, at
least a subsidiary pass in Physics at A level is required.
HIVI NI VIGEZO VYA...
mkuu HGE na EGM usome geomatics?pitia vizuri vigezo vinavotakiwa..maana ardhi mimi sijawahi kumuona mtu anaesoma geomatics kwa hge na egm maana hata PCB hakidhi vigezo wanavotaka..labda building economics
first inatake ipi?maana geomatics imeanza tokea miaka ya 70 ikiitwa land surveying..miaka ya 2007 waliwahi kuchukua egm nasikia ila baadae wakaacha..kuanzia 2009 hadi leo hakuna egm anaesoma geomatics..labda geonformatics ya udom ndio nackia wanachukua hadi cbg
mkuu unaijua vizuri aru au umeambiwa..maana mimi nimesoma pale na nimeshasaidia vijana wengi kuchagua kozi a kusoma pale..mimi nakwambia geomatics/geoinformatics si ardhi si UDSM hupati bila kuwa pcm au egm..kama huamini ingia www.aru.ac.tz utaona vigezo vyao..mimi nimeingia 2012 mpaka leo...
una ufaulu gani?kama una math olevel..soma building economics ardhi university,kuna vetenary medicine sua,medical labolatory popote wanapotoa,na bsc in geoinformatcs udom maana ya ardhi huwez kupata..hizo zote zina ajira bila kupepesa macho
mkuu katika hizo zote ulizotaja land management and valuation ndio best na naongea kwa experience,mimi ni surveyor ila hio course usije ukafananisha na sheria au mass communication...
Hapo mnashare cost kwa vile mpo wengi..maana bei ya kupima kiwanja kimoja kama ni 1.5M hata kama vipo 20 kwa eneo moja basi haizidi 2.5M..kama vipo block moja ndio rahisi zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.