Kati ya hizi kozi, ni ipi nzuri zaidi?

Vw Jr

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
377
338
Hiv kati ya hizi faculties ipi ni nzuriii zaidi... Hasa kwa arts...

1.Bachelor of science in land management and valuation..

2.Mass communication..

3.B. Law..

Sent using jamii forums mobile app
 
Nitakujibu kwa ' mtiririko ' wa umuhimu wake kama ifuatavyo:
  1. Bachelor of Science in Land Management and Valuation kwa dunia inavyoenda sasa huku suala zima la ardhi likiwa na umuhimu mkubwa katika Jamii ukiongeza kwamba hata nchi yetu sasa inaenda katika ' Industrialization ' nadhani soko lake la ajira na fursa nyingi zitakuwa nyingi na za kutosha.
  2. Law ni Taaluma ambayo kiukweli ukiijulia haiwezi kukulaza na ' Njaa ' kwani ina fursa nyingi na wigo mpana hasa Kiumuhimu katika Jamii yetu hivyo inalipa na itakulipa. Ombi langu tu Kwako ukiifanya hii Kozi kutokana na dunia inavyoenda sasa nakushauri ukibobea jikite mno katika Tax au Corporate Law.
  3. Mass Communication siyo ' Field ' mbaya ila kutokana hasa na huu ujio wetu wa ICT ambapo vitu vingi sasa vimekuwa ni vya ' Kidijitali ' tupu si Kozi nzuri sana kama unataka kuwa katika Magazeti ( Print Media ) ila kama utaifanya Mass Com halafu ujikite sana katika mambo ya PR and Advertising na katika Electronic Media hasa kwa kuja na Vipindi mbalimbali ambavyo utakuwa unavibuni na kuviuza itakulipa. Mass Com inahitaji sana Mtu kuwa ' Creative ' ili utoke haraka maishani.
Yangu ni hayo tu Mkuu na Kila la Kheri.
 
Uzuri wa kozi unategemeana na yafuatayo:
1.Uwezo wako kitaaluma "je unayajua mahitaji ya kozi huska kitaaluma!!?..uwezo wa kukabiliana na changamoto za kitaalamu unao!!?

2.Malengo/nia uliyonayo juu ya kozi huska"unasoma ili iweje!?"..ujiajiri ama uajiriwe!!?

Kutambua uwezo wako,kipaji chakoo,na mahitaji yako kitaaluma(unataka knowledge ufanyie nn)

Hapo itakuwa rahisi sana kujua usomee kitu gani/nini.

Lakini ukiamua tuu kusoma kozi kwasababu soko la ajira,ama mwajiri anahitaji badae utakuja kujuta kwasababu utakuwa umewekeza kwenye ndoto ya mwajiri.

Unatakiwa usome kozi ambayo itasave yo personal goals..ambitions..dreams..hii itakusaidia kuishi kwa matumaini na ujasiri coz utakuwa unatembea kwenye ndoto yako.

Maarifa,na ufahamu utakaojiongezea vyote vitakusaidia kukuza vipaji na vipawa ulivyonavyo na kukusaidia kufikia ndoto zako.

Vipaumbele vya Soko la ajira,mahitaji ya jamii,sera,mipango,mazingira,uchumi wa dunia,vyote vinaweza kubadilika wakati wowote bila kuzingatia ndoto ya mtu binafsi.

Ukisomea ajira,siku ukikosa mwajiri elimu yako inakuwa useless au utajikuta unalazimika kuwa cheaplabour just because u're educated for employment.

Elimu inatakiwa iwe kichocheo cha wewe kujiamini,kujiajiri,kutengeneza ajira,kuhudumia jamii na kupeta matumaini kwa wasio na elimu siyo ikugeuze kuwa ombaomba,mlalamikaji n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu katika hizo zote ulizotaja land management and valuation ndio best na naongea kwa experience,mimi ni surveyor ila hio course usije ukafananisha na sheria au mass communication...
 
Nitakujibu kwa ' mtiririko ' wa umuhimu wake kama ifuatavyo:
  1. Bachelor of Science in Land Management and Valuation kwa dunia inavyoenda sasa huku suala zima la ardhi likiwa na umuhimu mkubwa katika Jamii ukiongeza kwamba hata nchi yetu sasa inaenda katika ' Industrialization ' nadhani soko lake la ajira na fursa nyingi zitakuwa nyingi na za kutosha.
  2. Law ni Taaluma ambayo kiukweli ukiijulia haiwezi kukulaza na ' Njaa ' kwani ina fursa nyingi na wigo mpana hasa Kiumuhimu katika Jamii yetu hivyo inalipa na itakulipa. Ombi langu tu Kwako ukiifanya hii Kozi kutokana na dunia inavyoenda sasa nakushauri ukibobea jikite mno katika Tax au Corporate Law.
  3. Mass Communication siyo ' Field ' mbaya ila kutokana hasa na huu ujio wetu wa ICT ambapo vitu vingi sasa vimekuwa ni vya ' Kidijitali ' tupu si Kozi nzuri sana kama unataka kuwa katika Magazeti ( Print Media ) ila kama utaifanya Mass Com halafu ujikite sana katika mambo ya PR and Advertising na katika Electronic Media hasa kwa kuja na Vipindi mbalimbali ambavyo utakuwa unavibuni na kuviuza itakulipa. Mass Com inahitaji sana Mtu kuwa ' Creative ' ili utoke haraka maishani.
Yangu ni hayo tu Mkuu na Kila la Kheri.
Nmekuelewaaaaa xanaaa brazaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa kozi unategemeana na yafuatayo:
1.Uwezo wako kitaaluma "je unayajua mahitaji ya kozi huska kitaaluma!!?..uwezo wa kukabiliana na changamoto za kitaalamu unao!!?

2.Malengo/nia uliyonayo juu ya kozi huska"unasoma ili iweje!?"..ujiajiri ama uajiriwe!!?

Kutambua uwezo wako,kipaji chakoo,na mahitaji yako kitaaluma(unataka knowledge ufanyie nn)

Hapo itakuwa rahisi sana kujua usomee kitu gani/nini.

Lakini ukiamua tuu kusoma kozi kwasababu soko la ajira,ama mwajiri anahitaji badae utakuja kujuta kwasababu utakuwa umewekeza kwenye ndoto ya mwajiri.

Unatakiwa usome kozi ambayo itasave yo personal goals..ambitions..dreams..hii itakusaidia kuishi kwa matumaini na ujasiri coz utakuwa unatembea kwenye ndoto yako.

Maarifa,na ufahamu utakaojiongezea vyote vitakusaidia kukuza vipaji na vipawa ulivyonavyo na kukusaidia kufikia ndoto zako.

Vipaumbele vya Soko la ajira,mahitaji ya jamii,sera,mipango,mazingira,uchumi wa dunia,vyote vinaweza kubadilika wakati wowote bila kuzingatia ndoto ya mtu binafsi.

Ukisomea ajira,siku ukikosa mwajiri elimu yako inakuwa useless au utajikuta unalazimika kuwa cheaplabour just because u're educated for employment.

Elimu inatakiwa iwe kichocheo cha wewe kujiamini,kujiajiri,kutengeneza ajira,kuhudumia jamii na kupeta matumaini kwa wasio na elimu siyo ikugeuze kuwa ombaomba,mlalamikaji n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mekusomaaa mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom