Arusha na Kilimanjaro should be linked na SGR kutoka Makutupora pia Iringa na Mbeya via Dodoma . Hii SGR itasaidia sana kukuza uchumi na kurahisisha usafirishaji
My thinking is that
Auditorium ya conference -5000 seats probably fixed round like building
Exhibition centre (square like building right side ) various use -10,000 seats
Hotel towers kwa nyuma 500 rooms phase 2
Good job psssf
Wanafanya in phases naona hotel ni phase 2 na kwa kuangalia hizo tower zitakua hotels na kuna exihibition na conference centre ingekuwa poa tungepata maelezo ukiweza
Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi ...
I hope hatutojenga tena viwanja baada ya huu hata kwa miaka 5 ijayo, such a wastage of money . Hizi hela zolitakiwa kwenda kwenye barabara . Vanity projects , stadium hazina revenue kubwa na impact kiuchumi kwa Tz ni ndogo
Good project tho but hii afcon imefanya Tz ispend almost 400mil usd...
Hizi ndo render za. MKICC
Nimesoma kutakua na phase 2.
Phase 1 bil 338 itajenga
Auditorium ya 5000
Exhibition space ya 10,000
Parking
Mini halls za 50-500
Na presidential hall ya 3000
Phase 2 bado haijapata fedha na mwekezaji
5 star hotel ya 500 rooms
Phase 2 ni muhimu sana kualika mikutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.