Hivi ni lini bavicha wamekuwa taasisi ya dini!?, ni lini wamekuwa zehebu!? au ndo kubadilisha gia angani!!, swala la maombi linaitaji watu waliopakwa mafuta kwa ajili ya kazi hiyo na sio ujanjaujanja unaofanywa na hao bavicha. ndg TL bado anamaumivu makali lakini hawa bavicha wanawaza watoke...
eti bavicha wanafanya maombi!! eti wamenyimwa uhuru wa kuabudu!!! mi nacheka saaaaana!! na hizi siasa uchwara. hivi ni lini bavicha imegeuka kuwa zehebu!? hadi kufikia kunyimwa uhuru wa kuabudu!!?. hahahahahaa huu ujanjaujanja haujawahi kuicha salama hii bavicha
hivi watanzania tumeoteshwa kuwa viwanda vitashuka kutoka mbinguni! huku vikiwa na wafanyakazi wake!? duh! inaniuma sana tunapokuwa na mipango ya dhahania. eti mkurugenzi heslb unatoka kifua mbele kutangaza majina 1,500 tu kati ya majina zaidi ya 16,000. hivi hata hiyo mishipa ya aibu...
unatesa watu kwa njaa unasingizia uhakiki! hii zambi kubwa sana wewe so mpenzi wa Mungu. ila wewe ni mpenzi wa she**ni. wanafunzi nao unawaambia uhakiki unataka wale nini au wakafanye kazi waache kusoma!! semista inaisha kwa boom moja tu! duh! kweli tumempata raisi wa wanyonge[emoji24] [emoji24]...
Habari wanajukwaa,
Zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo Kikuu cha kikatoliki Mwenge wamezuiliwa kuhitimu (ku-graduate) 29/12/2016 kwasababu tu bodi ya mikopo (HESLB) mpaka saivi haijawalipia ada wanafunzi hao.
Hali hii ni tofauti kwa vyuo vingine, wao wameshalipiwa ada na wamesha-graduate.
- Je...
Ni mwezi mmoja na wiki moja sasa tangu tufungue chuo (MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY) hatujapata fedha ya kujikimu na hatujafaham sababu kuu ya ucheleweshaji huu.
mateso haya tunayoyapata sisi wanafunzi ni aibu hata kuyasema kwasababu itaonekana kama ni uzalilishaji. wanafunzi tumevumilia haswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.