Wanafunzi 505 Chuo Kikuu Mwenge wazuiwa mahafali kwa kutolipiwa ada na HESLB

Tz nchi yangu

Member
Jul 28, 2016
23
13
Habari wanajukwaa,

Zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo Kikuu cha kikatoliki Mwenge wamezuiliwa kuhitimu (ku-graduate) 29/12/2016 kwasababu tu bodi ya mikopo (HESLB) mpaka saivi haijawalipia ada wanafunzi hao.

Hali hii ni tofauti kwa vyuo vingine, wao wameshalipiwa ada na wamesha-graduate.

- Je HESLB mnataka wanafunzi hawa wakae mtaani bila kufanya chochote kwasababu tu mpaka mjisikie furaha ndo mpeleke ada zao?
- Je malengo ya jaribio lenu hili kwa wanafunzi hawa ni lipi hasa?
-Mkurugenzi HESLB kwanini unataka kutesa watoto wa masikini?
-Huu ni uchonganishi mkubwa kwa wanafunzi na serikari yao ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
-Mh. Rais wetu mpendwa JPM wewe ni rais wetu sisi wanyonge sikia kilio chetu.
-Wana jf tusaidieni kupaza sauti za wanyonge hawa ili waweze kugraduate tayari kwa kusaka ajira.

Naomba kuwasilisha.

Heshima kwenu wakuu,

Nimepata taarifa za uhakika kuwa wahitimu wa shahada ya ualimu wa sayansi chuo cha Mwenge zaidi ya 500 hawataruhusiwa kufanya mahafali ya chuo hicho kwa sababu bodi ya mikopo haijatuma pesa ya ada ya semester ya mwisho. Wahitimu hao wamemaliza chuo toka July mwaka huu na bodi ya mikopo wamekuwa wakitia sound tu kuwa pesa watazituma. Wenzao wa shahada za ualimu wa sanaa walishalipiwa na ndio pekee watakaograduate.

Hatimaye mahafali ya chuo hicho yanafanyika tar 29 Dec mwaka huu na wamezuia wanafunzi ambao hawajalipiwa na bodi ya mikopo kugraduate.

Hapo najiuliza ni serikali imefirisika, haina pesa ya kuwalipia wahitimu hao ambao wamekuwa wanufaikaji tokea serikali ya kikwete? Mbona uwanja wa ndege Chato unaendelea kujengwa tena kwa speed kubwa.

Mbona serikali hii ilijinadi kuwa serikali ya wanyonge, wanyonge hawa wasipotunukiwa vyeti vyao kwenye mahafali hii ina maana watakuwa wameupoteza mwaka mmoja maana majina yao hayatakuwepo kwenye list ya graduands wa mwaka huu hivyo hata ajira zikitoka hazitawahusu.

Hii serikali ililaghai watu, haina unyonge wowote, badala yake imekuwa mwiba kwa wanyonge na masikini.

Tumemumiss Kikwete!

List of Non Graduands due Financial Reasons

Jumla ya wanafunzi 505 waliomaliza masomo yao katika chuo kikuu cha kikatoliki cha Mwenge (MWECAU) wamezuiwa kwenye mahafali ya chuo hicho yatakofanyika tarehe 29.12.2016 hivyo kukosa vyeti vyao kutokana na bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kutowalipia tuition fees.

Bodi hiyo iliwalipia kuanzia mwaka wa kwanza lakini ikashindwa kuwalipia semester ya mwisho ya mwaka wa tatu hivyo kuwasababishia usumbufu mkubwa. Chuo hicho kimewapa wanafunzi hao muda mpaka kesho tarehe 27/12/2016 saa nane mchana wawe wamelipa ili waingizwa kwenye orodha ya wanafunzi watakaograduate.

Tunaiomba serikali kupitia bodi ya mikopo ilifanyie kazi suala hili kama alivyoahidi Rais Magufuli kwamba hakuna mtoto wa masikini atakayekosa elimu ya juu kwa kukosa mikopo.
 
Mkuu hata vyuo ambavyo vimefanya graduation bado bodi haijapeleka ada hivyo vyuo hivyo vimezuia wanafunzi wao kuchukua vyeti. HESLB bado ni jipu yani mpaka saiz hawapjapeleka ada ya semester ya pili mwaka wa masomo uliopita
 
Habari wanajukwaa,

Zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo Kikuu cha kikatoliki Mwenge wamezuiliwa kuhitimu (ku-graduate) 29/12/2016 kwasababu tu bodi ya mikopo (HESLB) mpaka saivi haijawalipia ada wanafunzi hao.

Hali hii ni tofauti kwa vyuo vingine, wao wameshalipiwa ada na wamesha-graduate.

- Je HESLB mnataka wanafunzi hawa wakae mtaani bila kufanya chochote kwasababu tu mpaka mjisikie furaha ndo mpeleke ada zao?
- Je malengo ya jaribio lenu hili kwa wanafunzi hawa ni lipi hasa?
-Mkurugenzi HESLB kwanini unataka kutesa watoto wa masikini?
-Huu ni uchonganishi mkubwa kwa wanafunzi na serikari yao ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
-Mh. Rais wetu mpendwa JPM wewe ni rais wetu sisi wanyonge sikia kilio chetu.
-Wana jf tusaidieni kupaza sauti za wanyonge hawa ili waweze kugraduate tayari kwa kusaka ajira.

Naomba kuwasilisha.
Lakini kwanini wanafunzi wanakosa haki ya kupata mahafari na shahada zao na wakati kosa sio la kwao?
 
Heshima kwenu wakuu,

Nimepata taarifa za uhakika kuwa wahitimu wa shahada ya ualimu wa sayansi chuo cha Mwenge zaidi ya 500 hawataruhusiwa kufanya mahafali ya chuo hicho kwa sababu bodi ya mikopo haijatuma pesa ya ada ya semester ya mwisho. Wahitimu hao wamemaliza chuo toka July mwaka huu na bodi ya mikopo wamekuwa wakitia sound tu kuwa pesa watazituma. Wenzao wa shahada za ualimu wa sanaa walishalipiwa na ndio pekee watakaograduate.

Hatimaye mahafali ya chuo hicho yanafanyika tar 29 Dec mwaka huu na wamezuia wanafunzi ambao hawajalipiwa na bodi ya mikopo kugraduate.

Hapo najiuliza ni serikali imefirisika, haina pesa ya kuwalipia wahitimu hao ambao wamekuwa wanufaikaji tokea serikali ya kikwete? Mbona uwanja wa ndege Chato unaendelea kujengwa tena kwa speed kubwa.

Mbona serikali hii ilijinadi kuwa serikali ya wanyonge, wanyonge hawa wasipotunukiwa vyeti vyao kwenye mahafali hii ina maana watakuwa wameupoteza mwaka mmoja maana majina yao hayatakuwepo kwenye list ya graduands wa mwaka huu hivyo hata ajira zikitoka hazitawahusu.

Hii serikali ililaghai watu, haina unyonge wowote, badala yake imekuwa mwiba kwa wanyonge na masikini.

Tumemumiss Kikwete!

List of Non Graduands due Financial Reasons
 
Katika serikali yangu mnyonge hatokosa mkopo, sasa hela yenu tena ni mkopo halafu bado acheleweshewe....nitalala mbele na yeyoye atakae nikwamisha ...jpm 2015
 
Jumla ya wanafunzi 505 waliomaliza masomo yao katika chuo kikuu cha kikatoliki cha Mwenge (MWECAU) wamezuiwa kwenye mahafali ya chuo hicho yatakofanyika tarehe 29.12.2016 hivyo kukosa vyeti vyao kutokana NA bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kutowalipia tuition fees. Bodi hiyo iliwalipia kuanzia mwaka wa kwanza lakini ikashindwa kuwalipia semester ya mwisho ya mwaka wa tatu hivyo kuwasababishia usumbufu mkubwa. Chuo hicho kimewapa wanafunzi hao muda mpaka kesho tarehe 27/12/2016 saa nane mchana wawe wamelipa ili waingizwa kwenye orodha ya wanafunzi watakaograduate.Tunaiomba serikali kupitia bodi ya mikopo ilifanyie kazi suala hili kama alivyoahidi Rais Magufuli kwamba hakuna mtoto wa masikini atakayekosa elimu ya juu kwa kukosa mikopo.
 
Back
Top Bottom