Bavicha na mwendelezo wa kubadilisha gia angani

Bavicha na mwendelezo wa kubadilisha gia angani

Tz nchi yangu

Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
23
Reaction score
13
Hivi ni lini bavicha wamekuwa taasisi ya dini!?, ni lini wamekuwa zehebu!? au ndo kubadilisha gia angani!!, swala la maombi linaitaji watu waliopakwa mafuta kwa ajili ya kazi hiyo na sio ujanjaujanja unaofanywa na hao bavicha. ndg TL bado anamaumivu makali lakini hawa bavicha wanawaza watoke vipi. duh! . sio kila kitu ni furusa
 
Back
Top Bottom