kweli huyu ni rais wa wanyongee!!??

Tz nchi yangu

Member
Jul 28, 2016
23
13
unatesa watu kwa njaa unasingizia uhakiki! hii zambi kubwa sana wewe so mpenzi wa Mungu. ila wewe ni mpenzi wa she**ni. wanafunzi nao unawaambia uhakiki unataka wale nini au wakafanye kazi waache kusoma!! semista inaisha kwa boom moja tu! duh! kweli tumempata raisi wa wanyonge .. njia ya mwongo ni fupi
17053c8d89a3a86b0a78c1ca37028193.jpg
 
Huyu mzee hadi ikifika 2020 atakuwa hana hamu na huo wadhifa maana kila kona yy kila bandiko mitandaoni yy waliokuwa wanamsifia naona km nguvu zimewaishia huku wanaoponda wanaongezeka kwa kas ya ajabu hakiyanani.........
 
Back
Top Bottom