Mleta hoja napinga hoja yako. Kwa siasa za hapa kwetu za kuviziana,. Kwa matukio unayo jaribu kuhalalishia jaribio la kumwua Lissu, siamini hata kidogo km serikali ingeshindwa kuwakamata watuhumiwa hao. Vyombo vya dola ni dhahili vinafanya kazi kwa kui favor serikali. Kwa hili visingeshindwa...
Niliwahi kufanya kazi na kampuni ya ulinzi Kenya Kazi Security(K. K) , inasikitisha sana kufanya kazi ya ulinzi unalinda mali za mamilioni lakini unalipwa mshahara laki mbili na nusu, hapo unakaa mji kama Dsm, ulipe kodi ule na unyoe kila baada ya siku 3 au nne, utunze hela ya usafiri na chakula...
Huyu ni mwongo sana anataka kuchukua attentions za watu, ukiangalia profile yake ana miaka 25 na majuzi hapo alileta matokeo yake akitaka tumshauri akasome kozi gani, duh watu kwa uongo mko vizuri.
Mkuu hizo namba zipo hata mimi nimeziona kwenye specifications za hiyo ndege kwenye ukurasa wa Instagram wa CCM nikashindwa kuelewa, labda wataalamu mtusaidie
Nitaendelea kukupenda Zitto,hizi danganya toto za mafisadi yamekimbilia Chadema ni wapiga zomali tu ndo wataziunga mkono. Sasa kama mheshimiwa yuko SERIOUS na mafisadi aanze na huyo tapeli + makada wa chama chake.
Kwanini wasitangaze kuwa hilo janga ni lao tu??? Kwanini hawataki kufanya kazi na wapinzani?? Wao wakiongea sawa, wapinzani wakiongea ni tatizo. Nchi yangu hii, huu utengano mbona mnaukaribisha kwa spidi hivyo??
Kuna nyuzi tumeeleza hivi vitu, na nae naendelea kuuliza kuwa hivi nyie wanasiasa wa CCM hii nchi ni yenu tu wapinzani siyo yao?? This is too much!!! Mmezidi kujipendekeza Kwa Rais,. Embu ifike mahali mheshimu haki za kiraia na kidemokria, waacheni na wapinzani washirikiane na watanzania wenzao...
Mkuu unachosema ni sahihi, lakini ni sahihi kuwazuia wasishiriki shughuli zozote za kijamii kama unavyosema eti kwa vile they will gain a political point?? Kwa mtazamo wangu hawa ni sehemu ya jamii, na tunawajua kuwa ni wanasiasa vile vile tunatambua mchango wa siasa katika taifa letu.,hivyo...
Nyani Ngabu umeongelea matukio mawili ambayo yamenifanya nisiamini uongozi wa Chadema. Nafuatilia siasa sana hasa za hapa kwetu lakini bado sijashawishika kuchukua kadi ya chama chochote. Chadema niliwashangaa sana mwaka jana, lakini sikuwanyima kura kwasababu ya CCM aliyokuwa ameiacha Jakaya...
Hiki chama ni Ubatili mtupu, hivi huyu Mbowe alishaona wanachama wake ni hamnazo kiasi hiki? Kulikuwa na namna nyingi za kufanya kuhusu hii operesheni, na si kutoka kwenye kadamnasi kuwa mmeahirisha ilihali jana tu mnawahakikishia raia kuwa ukuta uko pale pale. Duh Chadema tuamini kipi kutoka...
Ushauri kwa wapenzi wa upinzani Km mimi, Mhe Mbowe aachie uongozi wa uenyekiti wa chama. Huu mtindo wa kubadilisha gia angani ni ishara mbaya sana kwa chama kikubwa kama Chadema. Mwaka jana Lowasa alikaribishwa kugombea urais kwa gia ya angani hivi hivi na maneno mazuri mengi sana, lakini kama...
Hakuna chuo kisicho na changamoto, japo zinatofautiana kidogo. Mwache akasome maana anachohitaji kipo Nit, mengine ni changamoto za kawaida anatakiwa awe mvumilivu ili afikie malengo yake. Hata hapo NIT Wapo wanafunzi Km yy na wana mahitaji Km yy asiogope hata kama chuo kingekuwa Manyoni.
Mkuu kama umesoma fasihi ya Kiswahili na literature unaweza elewa Lissu anamaanisha au lah. Hahaaa Lissu kaingiza mkenge wengi kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.