Kuna comment za watu zinakera sana kama una kitu cha kucomment bora ufunge kinywa chako kuliko kuandika uchafu humu jf. Ujui hata unaloliongea itz pain to see your best tut dying, very painful tena sanaaa, angalien kauli zenu jamn u hurt us
Doctar alinieleza kiufasaa kuwa wale n mba wa ngozi ambao ni possible kabisa kuwaponya kabisa kwa kutumia dawa ya mba ya kumeza na nliweza kutumia dawa hiyo ndan ya siku kumi nlikuwa nimepona. Afu mba kwa kingereza ndo fungus
Naongea hivyo cz nimesumbuliwa na mba kwa muda mrefu nlikuwa nkichana nywele wakidondoka kwenye ngozi napata mba wa ngozi nliamua kwenda hospital na dactar
Huo unawexa ukawa ugonjwa au usiwe, inawexa ikasababishwa na kutopaka mafuta mara kwa mara kichwan na tiba ni kupaka mafuta mara kwa mara, au inaweza ikawa ni kwasababu ya fangus so nenda dukan chukua dawa ya fangus ya kumeza utakuwa umepona
Nahisi kulingana na kauli hii ya sex b4 marrige ndo maana ndoa nyingi zina matatitizo. Cz due to testing utapata test za aina mbalimbali na hivyo mpaka unahitaji kuoa au kuolewa itakulazimu uendelee na search mpaka upate ile test iliyokufurahisha hence utaishia kuonja tu na kuacha cz people differ,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.