Recent content by TXGA

  1. T

    Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    bandari ni mali ya umma , tunamaslahi nayo kama umma WA WTZ , Akodishe bandari ya zenji siyo Bandari za Tanganyika , hana uzalendo huyo mtu wenu wa kijani kutoka zenji , ameshauza mbuga za wanyama sasa bandari zetu....
  2. T

    Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    halafu unakuta Waziri badala ya kufanya kazi ya kutatua kero za wanachi kwenywe wizara ana promote private property ,anatembea na mitunga ya gas vijijini usiku ,machana alimradi apate chochote 10%kijani jamaani mtuhurumie ,umeme unakatika ,operation hospitalini zinafanyika kwa Generator ikipata...
  3. T

    Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    uko sahihi kwa 100% halafu kwanini 57trillion cubic feet ya gas yetu wamewapa wazungu????? Kijani ni msalaiti wa Taifa hili, leo gas ingukuwa inauzwa kwa sh 5000 mtungi mdogo
  4. T

    Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

    sasa kwa mfano bunge leu leo lianze kujadili nani ana mnanii nani???huo ni upuuzi hayo ni mambo binafsi, privecy ya mtuu....
  5. T

    Huyu Daktari atakuwa ni muhanga wa fujo za Wanawake

    Daktari wa bongo bhana , pasua mguu badala ya kichwa ....
  6. T

    Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Frankly speaking mimi niko mining sekta , wataalamu wetu yaani Mining engeneers, etc ni weupe once wanapoajiriwa mpaka wapegwe msasa na hao exparts from Australia, canada and South Africa ...
  7. T

    Serikali ya CCM isivyo na utu, huruma wala aibu

    ni kweli kijani bila deep state ni plain white paper.....anyway hongerini Deep state kwakuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi hii inakuwa salama mpaka leo ,,,maana bora mmoja aondoke ili 61 millioni wabaki salama bila kujali yeye ana wadhifa gani.....
  8. T

    CHADEMA angalia Usalama na Afya ya Mbowe na Lissu

    Thomas Sankara hakuwahi kuwa na walinzi, unafikiri kwanini risasi na siyo hayo unayosema....mlinzi wao ni Mungu pekee aliyemwokaoa Lissu na wale wadhalima waliotaka kutoa roho yake bila sababu yoyoye , hakuwa jamabazi walipiga hoja kwa rungu wale vipofu wa siasa za kistaarabu...
  9. T

    Kitabu cha wasaliti wa taifa mbioni kutoka

    embu cheki corruption katuka Taifa letu, ubadhilifu wa fedha za umma, refer report ya CAG ya kila mwaka , uwizi uwizi, uwizi, everywhere, mikataba isiyozingatia maslahi ya Taifa, uporaji wa ardhi ya wananchi kwa kisingizio cha uhifadhi ....Kijani imechooka kufikiri sasa inaenda ku crash , ni...
  10. T

    Kitabu cha wasaliti wa taifa mbioni kutoka

    wasiliti wa taifa hili ni rangi ya kijani pale lumumumbashi
  11. T

    Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

    mnaingilia faraqa ya mtu , privecy ..
  12. T

    Watanzania wenye akili wanataka kuona nchi inakimbia kimaendeleo na si Ikulu Mpya kusifiwa na Wanafiki na Mafisadi

    uko sahihi mkuu mpaka tutakapoacha uchawa hii nchi ndiyo itakuja kuendelea....01,kuwe na kampuni za serikali state owned companies ambayo kila tenda ya serikali ipewe kampuni zetu ili tuepuke kupeleka pesa zetu china ,,,kuwe na 50%50% win win situation kati ya serikali na muwekezaji haswa kwenye...
  13. T

    Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

    Hao wapumbavu ningewasukuma ndani ,hii clip kama ni current imfikie mama yetu,,kama ni ya tendo limefanyika Ndani TZ Territorial area ....
Back
Top Bottom