Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,755
Wazalendo wa taifa la Tanzania wamejipanga kuandika kitabu kuelezea namna watu mbalimbali, ikiwemo wanasiasa walivyosaliti taifa kuanzia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 hadi mwaka 2020 kutokana na tamaa ya pesa na kwa kutumiwa na mabeberu kuwagawa watanzania ili yaibe rasilimali za taifa vizuri.
Orodha ya wasaliti hao ni ndefu ikijumuisha hadi baadhi ya waandishi wa habari, wana siasa ,viongozi wa dini na wana harakati mbalimbali.
Baadhi ya majina ya wasaliti yatakayoonekana kwenye kitabu hicho ni Tundu Lisu, Ansbert Ngurumo, Nevile Meena, Freeman Mbowe, Godbless Lema, Nape Nnauye, January Makamba, Fatuma Karume, Abdul Kinana, Ezeckia Wenje na wengine wengi.
Kitabu hiki kinaandikwa kuwaonya kizazi kipya kwamba siyo kila king'aacho ni dhahabu, hivyo wawe makini sana na wanasiasa uchwara ili wasije kuangamiza taifa.
Kitabu hiki kitatoka mwishoni mwa mwezi wa nane mwaka 2023 ,hivyo jipange kupata nakala yako.