Recent content by twopass kapela

  1. twopass kapela

    Tafuta pesa / tutafute pesa ndio kauli hovyo zaidi mwaka huu.

    Utafute pesa uende nazo wapi ebu vijana ebu kazeni fuvu
  2. twopass kapela

    Umenipendea nini hivi hili swali nyie hua mnajibuje

    Nimekutana na hili swali sio mara mia maana kidogo uzinzi ni sehemu ya maisha yangu ila mara zote hua naliluka Luka tu Leo naomba mnipe jibu ivi hua nyie mnajibuje
  3. twopass kapela

    Ibra; Harmonize aliniblock kisa nilimpost diamond platinumz

    Ndo ukome mafahali wawili hawakai zizi Moja wewe
  4. twopass kapela

    Mwananyamala hospital kuna huduma mbovu

    Kwasababu wanataka pesa
  5. twopass kapela

    Mwananyamala hospital kuna huduma mbovu

    Chukua supana uka rekebishe si ni pabovu rekebisha
  6. twopass kapela

    Umalaya na Umiliki wa Danguro ni Kosa La jinai

    Tena ni vizuri maana kuoa asaivi ni kosa la jinai tena wafungwe wanaooa
Back
Top Bottom