Huko kutawala kwenyewe mnaweza Sasa! Unakuta jitu halijiwezi ...Yani anapata changamoto kidogo tuu ndo baaasiii hawezi tena kujipambania! Ndo ukae unategemea watu wa hivyo?
Yaniii...!!! Nimeshangaa sana kwa kweli! Kumbe ili uolewe unatakiwa uwe kapuku? Tena uwe na mindset ya kimasikini...ukiwa na mipango ya kujiendeleza zaidi eti una kiburi. Utamdharau mumeo? Bado ukifanya hayo yote wanakuolea mke wa pili au michepuko kila Kona na kwa sababu huna kitu uvumilie tuu...
Biashara ya mchele Mwaka huu imekua ngumuu balaa, usidhani ni wewe peke yako..🤔 pia Michele ni mingi mno.! Ila usibadilishe biashara endelea tuu labda ubadili location.
Habari za Leo wakuu..
Naomba kwa anayefahamu Tani 1 ya parachichi(Hass) ni shilingi ngapi?
Naomba Bei ya shamba na Bei ya kutoka shamba mpaka Dar.
Shukran
Msaada kwenye tuta...
Nimekua naitwa sana kwenye interview na hii kampuni Afaq Group..
Nimeitwa kama mara 4 Hivi.. niliwekaga details zangu linked in..Sasa naitwa Kila siku ila ndo hivyo sipo huko.. deadline inapita...
Sasa Nina maswali najiuliza....nijilipue niende tuu?? Je nikikosa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.