Recent content by Twin Tower

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

    Aisee kumbe leo ndo mmechambwa hivyo. Acheni kuwa na midomo mingi na mikubwa. Ndiyo maana ufisadi hauishi. Lucas Mwashambwa
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    Kamuulize Hakim kama atakuelewa. Let her know minimum. Nyingine angalia namna za kuhifadhi bila yeye kujua, lkn sio kwa manaa mtu mwingine asijue.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Business Partner wa Mchengerwa aula uteuzi! Tunagawa vyeo mpaka kwa marafiki na hakuna kitu mtafanya!

    Hongera sana kwa kuiweka hii habari jukwaani. Risiti inatunzwa, tutaelewana tu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa Afcon 2027 utakamilika?

    Uwanja wa Arusha upo katika hatua nzuri kabisa. Changamoto ni hizo huduma nyingine. Barabara distance ni ndogo tu, mwezi unatosha kufanya landscape nje ya uwanja na kuunganisha barabara kwa kiwango cha lami. Kule itakuwa kama tunaenda sokoni na kurudi. Ila kukamilika utakamilika kwa wakati...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado game 13 tu. Kuna uwezekano ubingwa ukawa game ya 32.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu Tonali tupite nae kiangazi.
  7. T

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni sahihi, mwenyewe nilishangaa sana. Ila nikajua ni uvivu ma wizi waliozoea.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tarehe 29/10 iwe siku ya Vijana

    Naunga mkono hoja
  9. T

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mpira huwa unaukatili sana
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

    BBT inaendeleaje?
Back
Top Bottom