Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

Hakuna program ya serikali Imewahi kufanikiwa, wanawaongopea wajinga

Kilimo kwanza, sijui BBT, n.k zote chali
Kilimo kwanza iliongeza uzalishaji wa chakula kiasi gani?..ikafuatiwa na kutafutiwa masoko,unajua watu wangapi wameukimbia umasikini kupitia kilimo kwanza?.. power tiller,matrekta,elimu ya kilimo,ruzuku pembejeo,nikuoneshe Kijiji kilichokua na nyumba za udongo na umasikini wa kutupa na sasa nyumba za block na maisha ya juu!?..nyi huwa mnaongeaongea tu,mkishaingizia watu nyimbo kwenye simu na series za kutafsiriwa mnatulia kupinga kila kitu
 
Hakuna mjapani anatengeneza huo uchafu. Ungesema Tracktor za KUBOTA ningekuelewa. Hata hivyo hiyo kazi ya kulima fanyeni nyie washamba wa ccm, sisi tuko hapa mjini tunafanya mambo ya technology kama Graphics Design, content creators, coding nk, hizo kazi ngumu zenye kipato duni fanyeni nyie mnaotumia nguvu nyingi na akili kidogo.
Tazama hili papai, Kubota ni kampuni ya wapi!?..kuna power tiller Bora kuzidi ya mjapani/Kubota!?
Sisi tunafanya na tunaingiza hundreds of millions kwa mwaka,wewe endelea kuingiza nyimbo kwenye simu na series za kutafsiriwa
 
Ningekuwa nimechoka hivyo ningetamani kuja huko kwa wanaotumia nguvu kuliko akili. Lakini kwakuwa nina akili niko hapa mjini nakula bata. Nyie washamba ndio mnauzia hizo series za kutafsiriwa, sisi tupo Netflix boss.
 
Kilimo kwanza iliongeza uzalishaji wa chakula kiasi gani?..ikafuatiwa na kutafutiwa masoko,unajua watu wangapi wameukimbia umasikini kupitia kilimo kwanza?.. power tiller,matrekta,elimu ya kilimo,ruzuku pembejeo,nikuoneshe Kijiji kilichokua na nyumba za udongo na umasikini wa kutupa na sasa nyumba za block na maisha ya juu!?..nyi huwa mnaongeaongea tu,mkishaingizia watu nyimbo kwenye simu na series za kutafsiriwa mnatulia kupinga kila kitu
Hakuna chochote kilichoongezeka kutoka kilimo kwanza na wala hakuna aliyeukimbia umaskini sababu ya kilimo kwanza labda

Kijiji kilkua na nyumba za udongo alafu zikawa za tofali sababu ya kilimo kwanza? Labda Kijiji cha kwenye ndoto

Kilimo ndio kazi yangu mwaka wa 15 huu
 
SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda zaidi wa kushiriki shughuli nyingine za kiuchumi.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Februari 3, 2026 wakati akifungua Mkutano wa Kwanza wa Kikanda wa Afrika wa Matumizi Endelevu ya Zana za Kilimo unaofanyika katika Hotel ya Johari Rotana, Dar es Salaam ambao unalenga kuweka msingi wa ushirikiano wa kikanda katika kuendeleza Ajenda ya Mfumo wa Zana Endelevu za Kilimo Barani Afrika (F-SAMA).

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema ni muhimu kuimarisha uwekezaji katika zana za kilimo rafiki kwa mazingira na zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi. “Zana hizi zinapaswa kupunguza uzito wa kazi, kuongeza tija, kupunguza upotevu wa mazao, na wakati huo huo kulinda mazingira kwa kutumia teknolojia zinazohimili athari za tabianchi kama ukame na mabadiliko ya misimu.”

“Tunapaswa kuhakikisha ushiriki mkubwa na wa makusudi wa Sekta Binafsi katika uzalishaji, usambazaji na utoaji wa huduma za zana za kilimo. Serikali zetu zinapaswa kuweka mazingira wezeshi ya sera, sheria na vivutio vya uwekezaji ili Sekta Binafsi iweze kushiriki kikamilifu, kuongeza upatikanaji wa zana za kilimo, na kupunguza gharama kwa wakulima.”

Waziri mkuu amesema kuwa ni lazima kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika biashara, ubunifu na utoaji wa huduma za zana za kilimo kwa kuwa ni kundi lenye nguvu kazi, ubunifu na uwezo wa kuleta mabadiliko ya haraka endapo litapatiwa mafunzo, mitaji, teknolojia na fursa za masoko.

Amesema uwezeshaji wa makundi hayo ni msingi wa maendeleo jumuishi na endelevu. “Uwezeshaji huu unapaswa kupimwa kwa viashiria mahsusi vya ajira, uanzishwaji wa biashara endelevu, na ushiriki wa vijana na wanawake katika minyororo ya thamani ya zana za kilimo.”

Waziri Mkuu amesema kupitia mkutano huo nchi za Afrika, kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Umoja wa Afrika (AU), taasisi za fedha, sekta binafsi, watafiti na wadau wa maendeleo zinakusudia kujenga mifumo thabiti ya huduma za zana za kilimo inayokidhi mahitaji halisi ya wakulima wadogo na wa kati, kuimarisha uratibu wa taasisi, kubadilishana uzoefu.

Hivyo, inatarajiwa watunga sera, wataalamu, watafiti, sekta binafsi na washirika wa maendeleo watapata fursa ya kubadilishana uzoefu, kujifunza mbinu bora, na kujenga uelewa wa pamoja kuhusu namna bora ya kuendeleza matumizi endelevu ya zana za kilimo kama chachu ya mageuzi ya mifumo ya uzalishaji chakula.

Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo, Godfrey Chongolo amesema kuwa Kupitia mkutano huu, Serikali imepanga kuzindua Mkakati wa Taifa wa Zana za Kilimo wa Awamu ya Pili (2026-2035). Mkakati huu umelenga kuimarisha matumizi, utengenezaji, uendelezaji, uhamasishaji, usimamizi na uratibu endelevu wa teknolojia zinazorahisisha kazi na kuokoa muda katika mnyororo wa uzalishaji na uongezaji wa thamani wa mazao ya kilimo.

USHAURI WANGU WAHAKIKISHE WANANUNUA MATRECTOR YANAYOWEZA KULIMA MAZINGIRA YA KWETU
AU BASI WANUNUE AINA MBILI; HEVY DUTY KWA AJILI YA MAENEO YENYE UDONGO WA MFINYANSI (KWENYE MIPUNGA nk) NA MATRECTOR YA KAWAIDA KWA UDONGO WA KICHANGA
HUKO NYUMA SERIKALI ILIWAHI KULETA MATRECTOR AINA YA VALMETI KWENYE MASHAMBA YA MPUNGA ZIKAWA ZINA VUNJA MAJEMBE NDIO WAKAJA KU UPGRADE WAKALETA VALMENT KUBWA....
ILA NI WAZO ZURI SANA...
 
Those are the political gimmicks advocated by the government that lacks the legitimate mandate to rule.

It's the same government that ended the Agriculture as a subject in schools not knowing how the people would fare in farming activities without the basic knowledge of the subject.

Today how can you import 10,000 tractors into a country where people are not conversant with the modern agricultural practices? Surely this is going to be another blatant wastage of the country's meagre resources and someday the country will regret the commission of such blunders.
 
SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda zaidi wa kushiriki shughuli nyingine za kiuchumi.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Februari 3, 2026 wakati akifungua Mkutano wa Kwanza wa Kikanda wa Afrika wa Matumizi Endelevu ya Zana za Kilimo unaofanyika katika Hotel ya Johari Rotana, Dar es Salaam ambao unalenga kuweka msingi wa ushirikiano wa kikanda katika kuendeleza Ajenda ya Mfumo wa Zana Endelevu za Kilimo Barani Afrika (F-SAMA).

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema ni muhimu kuimarisha uwekezaji katika zana za kilimo rafiki kwa mazingira na zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi. “Zana hizi zinapaswa kupunguza uzito wa kazi, kuongeza tija, kupunguza upotevu wa mazao, na wakati huo huo kulinda mazingira kwa kutumia teknolojia zinazohimili athari za tabianchi kama ukame na mabadiliko ya misimu.”

“Tunapaswa kuhakikisha ushiriki mkubwa na wa makusudi wa Sekta Binafsi katika uzalishaji, usambazaji na utoaji wa huduma za zana za kilimo. Serikali zetu zinapaswa kuweka mazingira wezeshi ya sera, sheria na vivutio vya uwekezaji ili Sekta Binafsi iweze kushiriki kikamilifu, kuongeza upatikanaji wa zana za kilimo, na kupunguza gharama kwa wakulima.”

Waziri mkuu amesema kuwa ni lazima kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika biashara, ubunifu na utoaji wa huduma za zana za kilimo kwa kuwa ni kundi lenye nguvu kazi, ubunifu na uwezo wa kuleta mabadiliko ya haraka endapo litapatiwa mafunzo, mitaji, teknolojia na fursa za masoko.

Amesema uwezeshaji wa makundi hayo ni msingi wa maendeleo jumuishi na endelevu. “Uwezeshaji huu unapaswa kupimwa kwa viashiria mahsusi vya ajira, uanzishwaji wa biashara endelevu, na ushiriki wa vijana na wanawake katika minyororo ya thamani ya zana za kilimo.”

Waziri Mkuu amesema kupitia mkutano huo nchi za Afrika, kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Umoja wa Afrika (AU), taasisi za fedha, sekta binafsi, watafiti na wadau wa maendeleo zinakusudia kujenga mifumo thabiti ya huduma za zana za kilimo inayokidhi mahitaji halisi ya wakulima wadogo na wa kati, kuimarisha uratibu wa taasisi, kubadilishana uzoefu.

Hivyo, inatarajiwa watunga sera, wataalamu, watafiti, sekta binafsi na washirika wa maendeleo watapata fursa ya kubadilishana uzoefu, kujifunza mbinu bora, na kujenga uelewa wa pamoja kuhusu namna bora ya kuendeleza matumizi endelevu ya zana za kilimo kama chachu ya mageuzi ya mifumo ya uzalishaji chakula.

Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo, Godfrey Chongolo amesema kuwa Kupitia mkutano huu, Serikali imepanga kuzindua Mkakati wa Taifa wa Zana za Kilimo wa Awamu ya Pili (2026-2035). Mkakati huu umelenga kuimarisha matumizi, utengenezaji, uendelezaji, uhamasishaji, usimamizi na uratibu endelevu wa teknolojia zinazorahisisha kazi na kuokoa muda katika mnyororo wa uzalishaji na uongezaji wa thamani wa mazao ya kilimo.

Tutasikia mengi mwaka huu,bado kuwapa kuku chanjo....
 
Hakuna chochote kilichoongezeka kutoka kilimo kwanza na wala hakuna aliyeukimbia umaskini sababu ya kilimo kwanza labda

Kijiji kilkua na nyumba za udongo alafu zikawa za tofali sababu ya kilimo kwanza? Labda Kijiji cha kwenye ndoto

Kilimo ndio kazi yangu mwaka wa 15 huu
Matrekta,power tiller,elimu ya kilimo Bora,masoko, ruzuku pembejeo vilifanyika lini?..uzalishaji kabla ya kilimo kwanza ulikuaje kitaifa na baada ulikuaje? Unaleta ujuaji wa kijinga jinga!!
 
Attachments

  • IMG_20260203_193940.jpg
    IMG_20260203_193940.jpg
    144.1 KB · Views: 25
Ningekuwa nimechoka hivyo ningetamani kuja huko kwa wanaotumia nguvu kuliko akili. Lakini kwakuwa nina akili niko hapa mjini nakula bata. Nyie washamba ndio mnauzia hizo series za kutafsiriwa, sisi tupo Netflix boss.
Kula bata kwa kuingiza nyimbo,ukikua utajua kuingiza nyimbo kazi au ujinga
 
Matrekta,power tiller,elimu ya kilimo Bora,masoko, ruzuku pembejeo vilifanyika lini?..uzalishaji kabla ya kilimo kwanza ulikuaje kitaifa na baada ulikuaje? Unaleta ujuaji wa kijinga jinga!!
Elimu ya kilimo gani? Nimekuambia nipo huku mwaka wa 15

Huo uzalishaji kabla na baada ya kilimo kwanza hakuna lolote. Wewe Sasa niletee takwimu kuonyesha kilimo kwanza kiliongeza uzalishaji, kilipunguza umaskini

Program pekee ya serikali iliyofanijkiwa ni kuunda machawa

Screenshot_20260203-225222_1.jpg
 
SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda zaidi wa kushiriki shughuli nyingine za kiuchumi.

Ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Februari 3, 2026 wakati akifungua Mkutano wa Kwanza wa Kikanda wa Afrika wa Matumizi Endelevu ya Zana za Kilimo unaofanyika katika Hotel ya Johari Rotana, Dar es Salaam ambao unalenga kuweka msingi wa ushirikiano wa kikanda katika kuendeleza Ajenda ya Mfumo wa Zana Endelevu za Kilimo Barani Afrika (F-SAMA).

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema ni muhimu kuimarisha uwekezaji katika zana za kilimo rafiki kwa mazingira na zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi. “Zana hizi zinapaswa kupunguza uzito wa kazi, kuongeza tija, kupunguza upotevu wa mazao, na wakati huo huo kulinda mazingira kwa kutumia teknolojia zinazohimili athari za tabianchi kama ukame na mabadiliko ya misimu.”

“Tunapaswa kuhakikisha ushiriki mkubwa na wa makusudi wa Sekta Binafsi katika uzalishaji, usambazaji na utoaji wa huduma za zana za kilimo. Serikali zetu zinapaswa kuweka mazingira wezeshi ya sera, sheria na vivutio vya uwekezaji ili Sekta Binafsi iweze kushiriki kikamilifu, kuongeza upatikanaji wa zana za kilimo, na kupunguza gharama kwa wakulima.”

Waziri mkuu amesema kuwa ni lazima kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika biashara, ubunifu na utoaji wa huduma za zana za kilimo kwa kuwa ni kundi lenye nguvu kazi, ubunifu na uwezo wa kuleta mabadiliko ya haraka endapo litapatiwa mafunzo, mitaji, teknolojia na fursa za masoko.

Amesema uwezeshaji wa makundi hayo ni msingi wa maendeleo jumuishi na endelevu. “Uwezeshaji huu unapaswa kupimwa kwa viashiria mahsusi vya ajira, uanzishwaji wa biashara endelevu, na ushiriki wa vijana na wanawake katika minyororo ya thamani ya zana za kilimo.”

Waziri Mkuu amesema kupitia mkutano huo nchi za Afrika, kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Umoja wa Afrika (AU), taasisi za fedha, sekta binafsi, watafiti na wadau wa maendeleo zinakusudia kujenga mifumo thabiti ya huduma za zana za kilimo inayokidhi mahitaji halisi ya wakulima wadogo na wa kati, kuimarisha uratibu wa taasisi, kubadilishana uzoefu.

Hivyo, inatarajiwa watunga sera, wataalamu, watafiti, sekta binafsi na washirika wa maendeleo watapata fursa ya kubadilishana uzoefu, kujifunza mbinu bora, na kujenga uelewa wa pamoja kuhusu namna bora ya kuendeleza matumizi endelevu ya zana za kilimo kama chachu ya mageuzi ya mifumo ya uzalishaji chakula.

Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo, Godfrey Chongolo amesema kuwa Kupitia mkutano huu, Serikali imepanga kuzindua Mkakati wa Taifa wa Zana za Kilimo wa Awamu ya Pili (2026-2035). Mkakati huu umelenga kuimarisha matumizi, utengenezaji, uendelezaji, uhamasishaji, usimamizi na uratibu endelevu wa teknolojia zinazorahisisha kazi na kuokoa muda katika mnyororo wa uzalishaji na uongezaji wa thamani wa mazao ya kilimo.

Hawa jamaa ukiwasikiliza na mipango yao ya kitapeli unaweza kuwaamini. We ngoja utaona kama kuna trekta hata moja litanunuliwa. Picha linaanza wanauza dhahabu kurudisha hela ya miradi sababu dhahabu ilinunuliwa kwa hela ya miradi. Ni mwendo wa kukoroga tu. Huyo Mwigulu na videvu ka Sukununu nae anaropoka tu. Taka taka kabisa hawa.
 
Suma jkt alinunua matrekta lukuki ya New Holland Kwa ajili ya kuwauzia na kuwakopesha wakulima lakini hadi Sasa zaidi ya miaka 15 hayajanunukiwa.Mengi yanajiozea tu.Serikalu inatakiwa kupunguza riba kwenye mikopo ili watu wakope na kufanya wanachotaka kama ni kilimo watanunua wenyewe hayo matrekta.Pia watoe Kodi kwa zana za kilimo.
 
Elimu ya kilimo gani? Nimekuambia nipo huku mwaka wa 15
Unalima nini?😃
Huo uzalishaji kabla na baada ya kilimo kwanza hakuna lolote. Wewe Sasa niletee takwimu kuonyesha kilimo kwanza kiliongeza uzalishaji, kilipunguza umaskini

Program pekee ya serikali iliyofanijkiwa ni kuunda machawa

View attachment 3538681
Umecrop challenges umeacha success
Tanzania: Kilimo Kwanza Achievements Explained - allAfrica.com https://allafrica.com/stories/201207120195.html
 
Umeleta link ya gazeti la serikali likimnukuu waziri wa kilimo. Ulitegemea waziri wa kilimo asemaje?

Maneno matupu, nilitegemea ungeweka huo uzalishaji
Hilo siyo gazeti la serikali mbulumundu wewe
Jibu unafanya kilimo gani?
 
Attachments

  • Screenshot_2026-02-03-23-25-05-156.jpg
    Screenshot_2026-02-03-23-25-05-156.jpg
    158.2 KB · Views: 14
"Unalenga kuweka msingi wa ushirikiano wa kikanda katika kuendeleza Ajenda ya Mfumo wa Zana Endelevu za Kilimo Barani Afrika. "

-Kauli kama hizi za kumaliza miti ni ishara ya upigaji na ubabaishaji.
 
Hilo siyo gazeti la serikali mbulumundu wewe
Jibu unafanya kilimo gani?
Wewe chawa nilikuuliza ulitaka huyo waziri wa kilimo atoe jibu gani??
Kilimo mm ndio ajira yangu,naelewa kila kitu kuhusu kilimo, nipo kwenye pamba, tumbaku na mpunga pia

Huku hatujawahi kumsikiliza chawa walahao viongozi wako mabumunda
Unaweka screenshot ya taarifa uliyoiframe unavyotaka, yoyote anaweza kuframe anachotaka na kikaja hivyo
Hii hapa nimeframe umeona jibu lililokuja?
Screenshot_20260204-021537_1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom