Hii yawezekana mkuu kabisa Yaani mara nyingi inakuwa hivyo,
Mfano mmoja Kule pande za Kawe beach karibu na nyumba Assas, kuna mtu aliuwawa (beach boy) Huyu jamaa kila siku alikuwa anasema speedboat zinakuja usiku hapa kila week na Kwa kuwa yeye alikuwa analala pale ufukweni Basi siku zikapita...
Ahahahahah aisee watu wamevurugwa sana utakuta hapo alikuwa anatafuta tuu useme kitu na wewe Kwa ukali Basi apate chanzo cha kukufokea zaidi na hata kukutwanga kabisa
Ova
Kweli kabisa ndugu yangu, wazazi hasa upande wa kike wana tabia zaidi ya kuwapa watoto sumu ya kufanya Baba aonekanike mbaya sana yaani maneno yote yatakayosemwa kuhusu baba ni mabaya na kamwe siyo mazuri.
Mimi Kama mimi binafsi Nipo ktk situation kama hii na kuanzia mzazi mpaka ndugu, jamaa na...
Wanayaunguza kabisa na mishumaa, Yaani maua yanakuwa uchafu juu ya kaburi Kwa kuchomwa moto na yote hii kisa wasiibe, Yaani ni shida Tupu, pale kinondoni niliacha mishumaa ktk kaburi la Baba yangu Yaani ile mishumaa ya kuwaka Kwa siku Tatu Lakini baada ya mazishi siku inayofuatia nilikwenda pale...
Ni Kweli mambo ya ajabu ajabu wao ndiyo wapo mstari wa mbele kufanya alafu wakati wapo ndani ya bunge wanasahau yake yote wananchi wanapitia. Na baada ya hapo wanakuwa wa kwanza kupiga mahesabu ya mapato yao tuu na Ndiyo maana kila mtu anakuambia nataka nigombee ubunge na siyo kumsaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.