Dar es salaam imeshajaa. Kupata ardhi ya kujenga kiwanda inakubidi ununue nyumba na kuzivunja. Pwani ina maeneo mengi kwa hiyo wawekezaji wengi sasa hivi wanawekeza mkoa wa Pwani
ukimfahamu,usipomfahamu Mimi hainiusu. Zaidi utahadithia umbea kama shilawadu
Malinzi ni changanyikeni na kabisa bora hata achukue Madega kuliko huyo asiejielewa.Simkubali hata kidogo- hafai hafai -hafai
Dogo mie sio popoma kama wewe unayelipwa. Naangalia maslahi ya taifa na mchezo wa soka. Inakera kila siku timu ya taifa inafanya vibaya na huyo mjomba wako au ndio wewe Malinzi kil*za amekaa anachofanya akijulikani.
Infact acha kuchunguza ID za watu .Kama nimejiunga jana au juzi ni ya kwangu...
Ni wakati wa kumuweka Nyamlani. Makosa yalishafanyika na watu wengi walikuwa na imani nae.
Nyamlani ni mzoefu na kipindi kile TFF ya Tenga haikuwa na migogoro.
Ni kweli mkuu, umekuwa muungwana. Pale inahitajika injini ya Tenga Athumani Nyamlani. Ni mchapakazi nzuri toka akiwa kiongozi wa ngazi ya wilaya Temeke (TEFA). Aliwezesha chama cha wilaya kuwa chama cha pili kimapato baada ya TFF. Pale aliacha mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanja cha mabatini. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.