Naanza kwa kuunga mkono hoja kuwa kweli huu ni uwekezaji wa kudumu na itakufaidisha zaidi ukiwa na eneo kubwa ambapo utaanza kuuza miti kwa mkupuo.
LAKINI NAPINGA VIKALI UPOTOSHAJI WA TAKWIMU ULIOUFANYA.
Haiwezekani hata kidogo ekari 1 ya miti yenye umri wa kati ya miaka 6-8 iuzwe kwa millioni...
Njooni KILOLO-IRINGA nije
-WANGING'OMBE/MAKAMBAKO/NJOMBE MJI/NJOMBE VIJIJINI.
Huku utanufaika na uwekezaji wa upandaji wa miti wenye manufaa .Hii inamhusu awaye yeyote mwenye kutafuta fursa.
Hata kama sio kwenu kutakufaa.
Fyuuuuu! kwa hiyo yakisemwa mabaya eti tunajihusisha na siasa,acha akili za kuambiwa wewe pungu.Penye zuri nitasema na kwenye baya the same,maana hizo ni hela zetu zilizoibwa,usitegemee tukae kimya.
Kuna thread hapa ililetwa kuhusiana na CWT kuwapa CCM mabilioni ya kukamilishia goli la mkono.Na wale viongozi wakuu wa CWT walitafutiwa namna ya kifuta jasho mara baada ya kukafanikisha dili hilo.
Walipoona mgao hautoshi vzr,imebidi baadhi yao kuwe vyeo hasa vya ukuu wa Wilaya kama hawa...
Heshima kwenu wandugu.
Naomba kuuliza jambo moja,hivi inawezekana kuunganisha matokeo ya NECTA ya form 6 ya kikao kimoja na kikao kingine ili kuqualify kuapply nafasi ya masomo let say diploma.
Kwa mfano mwaka 2013 alipata principle pass 1 tu bila hata subsidiary na mwaka 2014 akapata...
Kuna mtu wangu alihitimu kidato cha 4 mwaka 2008 akipata ufaulu wa div.4 ya point 26 na alipata credit 4 ya,Civics B,English C,Kiswahili C na Geography C na the rest yote ni F.
Kwa bahati nzuri alijiunga na Advanced level ambapo aligraduate 2012 na kwa bahati mbaya hakufaulu vzr kwani alipata...
Kufika page ya 3 haithibitishi unayoyasema,huo ni uongo,serikali haikuajiri mwaka huo taja ila toka ajira za October 2010,zikafuata za Feb 2012,halafu tambueni hata wa 2010 kuna baadhi ya halmashauri hawajapandishwa madaraja,sembuse nyie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.