tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Kuna thread hapa ililetwa kuhusiana na CWT kuwapa CCM mabilioni ya kukamilishia goli la mkono.Na wale viongozi wakuu wa CWT walitafutiwa namna ya kifuta jasho mara baada ya kukafanikisha dili hilo.
Walipoona mgao hautoshi vzr,imebidi baadhi yao kuwe vyeo hasa vya ukuu wa Wilaya kama hawa wafuatao.
1.HONORATA CHITANDA(Makamu wa rais CWT taifa)-amekuwa mkuu wa wilaya ya Ngara
2.MOHAMMED MUSSA UTALY (Mhazini CWT taifa)-Amekuwa mkuu wa wilaya
Nakukumbuka mama yangu Honorata Chitanda ukiwa kama Mwadili pale Nachingwea ttc,je,hayo ndiyo maadili uliyotufunza? maadili ya kuwauza walimu wenzako?
Ikumbukwe kuwa walimu tunaidai serikali mabilioni ya shilingi pamoja na madai lukuki ikiwemo kuboreshwa mishahara,sasa leo inageuka viongozi wetu mnaipa CCM mabilioni?
Nimeuleta ujumbe huu mahsusi hasa kwa walimu ambao mpaka sasa mmeshupaza shingo kwa kuifagilia CCM.
MUDA NI SASA,CHUKUA HATUA.