Recent content by tutuza

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Poa mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Yaan tulienda kwa daktari baada ya miaka mitatu ili atolewe lakini haikuonekana akaambiwa akae miaka mitatu tena ndipo arudi lakini baada ya hapo kurudi tena bado tu haijaoneka ndo akaenda kwenye utrasound na hakuna mafanikio
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Mwaka wa nane sasa. Kuhusu cku zake zinabadilika kila wakati.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Baada ya kubahatika kumpata mtoto mmoja, mke wangu alitumia NJITI kama njia ya uzazi wa mpango sasa baada muda akagundua njiti imepotelea mwilini. Tumejaribu kumtafuta mtoto pasipo na mafanikio tumemwona daktar akashauri utrasound kubaini sehemu ilipo hiyo njiti lakini hakijaonekana kwakweli...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kitambi, nile nini?

    Daa kumbe tumefotiana eee...ok mm naomba dawa ya kutoa huo ugonjwa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Amesema na yeye anakupenda anaogopa kukuambia...ila kasema mtumie helaaa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kuzaa mapacha

    Duuuuuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania GEITA: Wachimbaji 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi waokolewa wakiwa hai

    Picha mbona hizo hapo juu
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

    Ukamletee bia sasa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Walichonifanyia Loan board duh!

    ujue kuna continouing beneficier na wale ambao wameomba afresh,sasa bado hayajatoka majibu kama wamepata au laah labda wajumbe watuhakikishie tulijue hilo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    naomba uchungulie na hii S0976/0029/2006
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    naomba na hii ndugu S0976/0029/2006
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Naomba uniangalizie best! P0992/0031/2005
  14. T

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    mkubwa hebu naomba uniangalizie , P0992.0031.2005
Back
Top Bottom