Recent content by Tutor B

  1. Tutor B

    JamiiForums Tanzania From poor radio technician to rich entrepreneur

    Tatizo wengi mnapima mafanikio kwa malipo ya fedha ... sio hivyo ... mafanikio ni zaidi ya hapo
  2. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Mbolea bora na utengenezaji wake ni rahisi pia

    Moja ya changamoto inayowasumbua wakulima wadogo, kati na wakubwa ni upatikanaji wa mbolea bora. Lakini bado hata zile zinazotumika kwa wingi ni zile ambazo mazao yanayopatikana kutokana nazo hayana ubora kimataifa. Ipo haja ya kuanza kuzalisha mbolea bora za asili kutokana na mimea + wanyama...
  3. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Unasubiri nini kupata pesa kwenye chimbo hili

    jongoo bahari ndo kitu gani?
  4. Tutor B

    JamiiForums Tanzania MABOYA YANAHITAJIKA

    Hamjambo waungwana, maboya ya kuweza ku-uphold mzigo wa kilo 10 kwenye maji fresh yanahitajika. Kama kuna mtu anajua wapi yanapatikana, tafadhali tuwasiliane private au hapa sebureni
  5. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Hili Wakuu.

    Hujafanya utafiti vizuri bro ... hata Alibaba ni Mwanaume
  6. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    HAKUNA SIRI YOYOTE HAPO ... Kuhusu hiyo ya mbinguni na kuzimu, hayo yote hayapo. Amini kwamba hakuna kufa bal kuna kubadilisha mfumo tu. Sisi ni nishati, na nishati haiwezi kuharibiwa bali tu kubadilishwa.
  7. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

    leo ndo nimeanza kufuatilia huu uzi ... endelea kushusha madini
  8. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Tufundisha kwa vitendo - kilimo

    Kilimo bila udongo hapa namaanisha urban farming ambapo unaweza kustawisha mbogamboga bila udongo, hapa unatumia samadi, pumba, ndoo / magunia na maji ... namba 2, hydroponics fodder ni teknolojia ya kuzalisha vyakula vya mifugo kwa kutumia mbegu, virutubisho na maji tu.
  9. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo bila udongo

    KWA miaka nenda rudi, kilimo ndiyo kimekuwa uti wa mgongo kwa watu wengi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania. Tangu enzi za mababu zetu, kilimo ndiyo kimekuwa njia ya kuhakikisha kaya zinapata mahitaji muhimu, ikiwemo chakula. Kilimo ambacho kimekuwa kikifanyika sana hasa hapa nchini...
  10. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo bila udongo

    Elimu ya kilimo bila udongo mbona nimekuwa nikitoa muda mrefu tu jamani? Ok, sorry kwa kupotea muda ... naja na abc
  11. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

    makanisa yahivyo mbona ni mengi sana?
  12. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Ujue mmea wa maajabu Comfrey

    Kumbe kuna mambo msiyoyapenda na mengine mnayapenda?'''
  13. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Ujue mmea wa maajabu Comfrey

    Hii so tumbaku, tumia vizuri bundle ili ujue vitu kwa kuvitofautisha.
  14. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Ujue mmea wa maajabu Comfrey

    Huu mmea ulitoka Urusi na kisambazwa hadi nchi za Ulaya; hapa kwetu waswahili wanauita majina tofauti kulingana na mwonekano wake kwenye majani lakini hakuna jina lake kwa kiswahili. Kuna mtu mmoja miaka ya 90 aliuelezea aiuita KONFURE; Niliutafuta nikaukosa hata kwenye kugoo, lakini nimekuja...
  15. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

    sometimes hata nzige huwa tishio kwa binadamu.
Back
Top Bottom