Recent content by Tuti Tuti

  1. T

    Serikali igawe mashine za EFD kwa kila mwenyekiti wa mtaa kukufanya kodi za wapangishaji nyumba

    Ni wazo zuri sana , lakini linatakiwa liwekewe mikakati yake mingine kwa kutumia EFD hizo hizo baada ya kufanya comfiguration mpya nadhani na nchi itasonga mbele zaidi. NAUNGA MKONO 100%
  2. T

    Tanzania yenye Neema: Madini ya Almasi yagunduliwa mkoa wa Singida

    Wewe unaonekana ni mbumbumbu kama hujui kitu uliza , kazi za wakala wa jiolojia Tanzania ni nini neda kwenye Tovuti ya wizara ya nishati na madini mem.go.tz au gst.go.tz . Ndio utajua kazi za wakala wa jiolojia. Tuepuke majungu na maneno yasiyokuwa na tija katika taifa.
  3. T

    Kifaa cha kisasa cha kusaidia kutibu kupooza (stroke)

    Electrophysiology Lab Market Electrophysiology Labs Cardiac catheter ablation is performed by an electrophysiologist (a specially trained cardiologist) in a specialized electrophysiology lab. It is estimated that there are about 2,000 electrophysiology labs in the U.S. and 2,000...
  4. T

    Tetesi: Zamu ya Muhongo kuumbuka

    Kama ni majungu ndugu yangu tafuta majungu mengine hakuna mtu anayekubalika na wafanyakazi wa MEM kama Muhongo ni wezi na wabadhirifu tu ndio wanaomchukia , wewe unaonekana ni JIPU , kwa sasa hivi wizara hii Muhongo amefungua uwazi wa mawazo na watumishi kushirikishwa kwenye mambo mengi...
  5. T

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Hapa Dodoma kuna barabara mbovu kushinda zote hapa mjini, hii barabara ni ya kutoka keepleft cha Independence inapita pembezoni mwa soko kuu. Hii barabara ina mashimo ni balaa sijui Halmashauri yetu imevaa miwani ya mbao , kwa kweli najiuliza mara nyingi sipati majibu. Tunaomba barabara hii...
  6. T

    Shule binafsi Dodoma yawataka wazazi kuchangia ununuzi wa basi la shule

    Ni ajabu na kweli kuna shule ya ST. Ignatius iliyopo hapa Dodoma imewataka wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule hiyo wachangie ununuzi wa basi jipya kwa ajili ya kupeleka watoto shule pamoja na kuwa wamelipwa Ada na nauli ya kuwapeleka na kuwarudisha watoto shule. Hii shule ni ya Taasisi...
  7. T

    Kibonde wa Clouds acha kubeza kasi ya Mh. Rais na Serikali yake

    Huyu Kibonde sijui anajiamini nini na karedio kao wanaibeza sana serikali na kujidai kuwa wao wako sahihi kwa kila jambo, nionavyo mimi hawa ni jipu waangaliwe kwa jicho la pili tena kuanzia leo hii tumechoshwa nao.
  8. T

    Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

    Kundi la majipu ndio linalokaa chini kutaka Mheshimiwa Mhongo aondolewe na tunamtahadharisha sana Rais asichukue hatua yoyote huyu mtu ni hazina ya taifa yote haya ni kwa kuwa wamedhibitiwa vilivyo na mwaka huu mtaipata kwa wizi wenu mpaka taifa lote litakate, wizi na uzembe viondoke.
  9. T

    Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

    Naona Mnamukumu Mhongo hata hamjui meseji iliandikwaje acheni ushabiki wa kupitiliza , inabidi kufikiri kabla ya kusema . Je kama itaandikwa kuwa Mhe. Waziri Mkuu anakuja huko kesho ni kosa?
  10. T

    Siku 90 nilizompa Rais John Pombe Joseph Magufuli zinaisha wiki hii!

    Ukiona mtu anamlalamikia Rais wa awamu hii ujue huyo ni jipu tu, watu walikuwa wajiibia watakavyo sasa waachwe tena msijaribu kuzungumza ujinga huo , hakuna nchi iliyo na serikali watu wanafanya watakavyo tumechoka watanzania tunataka maendeleo tumuunge mkono Rais wetu .
  11. T

    Wizara ya Afya, muimulike na NHIF

    Waziri asisahau hata dawa zinazotelewa kwenye Bima ya afya ni za kiwango cha chini afuatilie na atazikuta.
  12. T

    Wizara ya Afya, muimulike na NHIF

    NHIF ni mfuko kwa ajili ya kuwafaidisha watu fulani lakini sio kwa ajili ya kuwanuufaisha wanachama , mtu ukifika Hospitali Daktari na wauguzi wanakuona kama hauna maana yoyote na hata wakichukua sampuli ya damu au mkojo au vinginevyo havipimwi kabisa , wanabandika majibu wayatakayo na baadae...
  13. T

    Prof. Ndalichako, Shule hii Soksi za 1,500 Tunauziwa 5,000/=

    Jeuri ya hela sio ? Sasa sisi tunatamka hivi tutakata sheria ifuaten mkondo SHULE NI HUDUMA NA WALA SI BIASHARA tunakuomba sana Mhe. RAIS TUMBUA JIPU HILI HARAKA WANANCHI TUNAKUTEGEMEA SANA.
  14. T

    Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    Ni ajabu kabisa eti Mbunge anaruhusiwa kutukana , tusizidishe mahaba kwa kila jambo.
Back
Top Bottom