aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,221
WanaJamii,
Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.
1. Tunahitaji katiba mpya ya warioba
2. Kubadili utendaji wa kazi serikalini na jinsi wizara zinavyoingiliana kutoa urasimu na wizi.
3. Matumizi ya tekinolojia katika ngazi za serikali na tassisi zake.
Ukianza hapo mzee Magu,utakuwa umetusaidi sana sis watanzania.Sasa katika mwendelezo wa majipu katika nchi yetu yaliyotufikisha hapa,kuna tetesi mawaziri kama wanne na BOT wanaweza kuwajibishwa kwa makosa mbalimbali na uzembe,kushindwa kutoa maamuzi kwa wakati (harufu ya rushwa) na matumizi mabaya ya ofisi.
Jipu ambalo nina uhakika nalo ni Muhongo le profeseli ambaye anasemekana ameshindwa kusimamia kikamilifu wizara yake katika maeneo mengi na amekuwa akihusishwa na ugomvi baina yake na wafanyakazi wa wizara na tasisi zilizochini yake.
Inasemekana Muhongo,na hizi habari zipo pale wizarani kuwa amemzushia kamshina wa madini kuwa yeye ni mwizi huku akimtuhumu pasipo kuwa na ushahidi na akijitambaa kwamba yeye haongei na mtu asiye na Doctorate degree "akisema huu ni wakati wa wasomi kama sisi"
Muhongo,amekuwa kikwazo kwa maamuzi mengi mazuri ambayo yaliwekwa kwa muda mrefu kwenye wizra lakni ametokea kuwa na mapingamizi ilimradi aonekane yeye ndie aliyfumbua na kutatua matatizo ya watanzania.
Muhongo,anahusika sana katika kulinda taswira yake pale wizarani kwa kuwahonga waandishi wa habari,wamwandike vizuri na kumweka mbele ya magazeti kwa fedha za serikali.
Kuna mambo mengi sana ambayo mengine sio sawa kuweka kwa jamii ambayo ni siri ya serikali,lakni muhongo amekuwa kizuio cha mambo ya msingi based on his ego and arrogance na mla rushwa mkubwa.
Watu kama Muhongo na wengineo ndio wanaotukumbusha umuhimu ya mambo niliyoorodhesha hapo juu,labda kwa kiasi itapunguza urasimu,wizi,na mambo mengine mengi na kuwaleta watanzania maendeleo.
Kama nilivyosema kuna watu wanne including BOT watatumbuliwa very soon.