"Mtu mpumbavu unaweza kumjua kwa maneno yake tu,lakn mtu mwerevu pia waweza kumjua kwa kauli yake na uchambuz wa mambo,muwe waelewa ndg zang mbona mnaanza kutukanana na kuacha msingi wa mtoa mada?",Mingoi,Deshmo,lwesye mnatoa picha gani jaman,kwann msijiheshimu?, mnapewa nn na hawo...