Nitakuchagua Edward Lowassa kama utafanya yafuatayo

Nitakuchagua Edward Lowassa kama utafanya yafuatayo

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Naweza kukupa kura yangu mh Edward Lowassa kama utanijibu mambo makubwa mawili ambayo mimi na wakaz wa Kongwa tumefanya tukuchukie, kumbka CCM wanategemea kura zaidi Kongwa lakini kama watakupitisha wewe bila kujibu mambo haya muhimu kupitia mkutano mkubwa ambao utarusha live basi kura zaidi ya 95% utakosa.Mambo haya ni;
1.Tunataka utuambie kwanini uliamua kutuibia fedha zetu za Sakata la Richmond? Na kama kuna mtu ulishirikiana nae (kuna tetes za dk kuepo ktk hili) tunataka utangazie umma,yaan mm nlikuwa natumwa na mh......

2.Kuna mambo mtaani hasa hapa Dodoma hususan Kongwa kwamba wewe ndo chanzo cha ugonvi kati ya Wafugaji (wamasai) na wakulima hapo Kiteto.Uovu wanaofanyiwa wakulima,kiburi cha viongoz wa wilaya ya Kiteto vyote vinasababishwa na wew,hvyo watu hawatokupa kura kwan wanahisi wew ukipita basi masai watatawala kiteto na kuua watu kama kuku kwan huwa wanachinja tuu.Hivyo tueleze msimamo wako ktk hili,mwisho tuambie kwann kila sehemu yenye migogoro ya wakulima na wafugaji ukiangalia ni Wamasai tu ndo utawakuta na si wafugaji wengine kama Wakaguru,Wasukuma nk huoni kuwa kabila lako limekushinda kuwaongoza vyema sasa sisi makabila mengi hivi utatuweza?
 
Ikulu hakuna wodi ya wagonjwa.Lowasa hana sifa za kuwa raisi wa Tanzania labda raisi wa waendesha toyo .
 
Naweza kukupa kura yangu mh Edward Lowassa kama utanijibu mambo makubwa mawili ambayo mm na wakaz wa Kongwa tumefanya tukuchukie,kumbka Ccm wanategemea kura zaidi Kongwa lakn kama watakupitisha wew bila kujibu mambo haya muhimu kupitia mkutano mkubwa ambao utarusha live basi kura zaidi ya 95% utakosa.Mambo haya ni;
1.Tunataka utuambie kwann uliamua kutuibia fedha zetu za Sakata la Richmond?, na kama kuna mtu ulishirikiana nae (kuna tetes za dk kuepo ktk hili) tunataka utangazie umma,yaan mm nlikuwa natumwa na mh......
2.Kuna mambo mtaani hasa hapa Dodoma ususan Kongwa kwamba wew ndo chanzo cha ugonvi kati ya Wafugaji (wamasai) na wakulima hapo Kiteto.Uovu wanaofanyiwa wakulima,kiburi cha viongoz wa wilaya ya Kiteto vyote vinasababishwa na wew,hvyo watu hawatokupa kura kwan wanahisi wew ukipita basi masai watatawala kiteto na kuua watu kama kuku kwan huwa wanachinja tuu.Hivyo tueleze msimamo wako ktk hili,mwisho tuambie kwann kila sehemu yenye migogoro ya wakulima na wafugaji ukiangalia ni Wamasai tu ndo utawakuta na si wafugaji wengine kama Wakaguru,Wasukuma nk huoni kuwa kabila lako limekushinda kuwaongoza vyema sasa sisi makabila mengi hivi utatuweza?

Kwani umelazimishwa kumpigia Lowasa? Subirini apitishwe Ndugai wenu nafasi ya urais ndiyo mpige kura zenu
 
Kongwa wanaojitambua wako Kibaigwa tu kwingine kote ni makondoo tu hamna uwezo wa kuacha kumchagua mwizi huyo kama akipitishwa na chama chake; Wilaya ya Kongwa ni mzigo ndio maana mbunge wenu Ndugai kazi yake ni kuowa tu, sasa anataka kuowa mhindi
 
Naweza kukupa kura yangu mh Edward Lowassa kama utanijibu mambo makubwa mawili ambayo mm na wakaz wa Kongwa tumefanya tukuchukie,kumbka Ccm wanategemea kura zaidi Kongwa lakn kama watakupitisha wew bila kujibu mambo haya muhimu kupitia mkutano mkubwa ambao utarusha live basi kura zaidi ya 95% utakosa.Mambo haya ni;
1.Tunataka utuambie kwann uliamua kutuibia fedha zetu za Sakata la Richmond?, na kama kuna mtu ulishirikiana nae (kuna tetes za dk kuepo ktk hili) tunataka utangazie umma,yaan mm nlikuwa natumwa na mh......
2.Kuna mambo mtaani hasa hapa Dodoma ususan Kongwa kwamba wew ndo chanzo cha ugonvi kati ya Wafugaji (wamasai) na wakulima hapo Kiteto.Uovu wanaofanyiwa wakulima,kiburi cha viongoz wa wilaya ya Kiteto vyote vinasababishwa na wew,hvyo watu hawatokupa kura kwan wanahisi wew ukipita basi masai watatawala kiteto na kuua watu kama kuku kwan huwa wanachinja tuu.Hivyo tueleze msimamo wako ktk hili,mwisho tuambie kwann kila sehemu yenye migogoro ya wakulima na wafugaji ukiangalia ni Wamasai tu ndo utawakuta na si wafugaji wengine kama Wakaguru,Wasukuma nk huoni kuwa kabila lako limekushinda kuwaongoza vyema sasa sisi makabila mengi hivi utatuweza?

Hatuna muda ya kumjibu kila mpuuzi,tuna mengi ya kuwafanyia Watanzania.
 
naweza kukupa kura yangu mh edward lowassa kama utanijibu mambo makubwa mawili ambayo mm na wakaz wa kongwa tumefanya tukuchukie,kumbka ccm wanategemea kura zaidi kongwa lakn kama watakupitisha wew bila kujibu mambo haya muhimu kupitia mkutano mkubwa ambao utarusha live basi kura zaidi ya 95% utakosa.mambo haya ni;
1.tunataka utuambie kwann uliamua kutuibia fedha zetu za sakata la richmond?, na kama kuna mtu ulishirikiana nae (kuna tetes za dk kuepo ktk hili) tunataka utangazie umma,yaan mm nlikuwa natumwa na mh......
2.kuna mambo mtaani hasa hapa dodoma ususan kongwa kwamba wew ndo chanzo cha ugonvi kati ya wafugaji (wamasai) na wakulima hapo kiteto.uovu wanaofanyiwa wakulima,kiburi cha viongoz wa wilaya ya kiteto vyote vinasababishwa na wew,hvyo watu hawatokupa kura kwan wanahisi wew ukipita basi masai watatawala kiteto na kuua watu kama kuku kwan huwa wanachinja tuu.hivyo tueleze msimamo wako ktk hili,mwisho tuambie kwann kila sehemu yenye migogoro ya wakulima na wafugaji ukiangalia ni wamasai tu ndo utawakuta na si wafugaji wengine kama wakaguru,wasukuma nk huoni kuwa kabila lako limekushinda kuwaongoza vyema sasa sisi makabila mengi hivi utatuweza?

kaka umbea sio mzuri kazini,kakojoe ulale
 
Lowasa hana sifa za kuwa rais wa tanzania. Mtu anaetumia fedha kununua uongozi ni wa kumuogopakama ukoma.by Jk.nyerere
 
Lowasa ni tumaini la watz wengi ndg hayo mengine n propaganda tu watanzania wengi wanamwamin Eddo
 
Sasa wewe unasifa zipi zaidi ya huo utumbo ulioandika?hivi lowassa tu ndo mmemuona wa kumzungumzia na kumpaka matope kila siku kwenye mitandao?kwani mbona wagombea ni wengi nchi hii?wewe uliyeweka hoja hii si ufanye mambo yako mbona unatumikishwa kiasi hiki?kwa taarifa yako umoja wa wafugaji umeenda kumshawishi mh edward lowassa achukue fomu ya kugombea uraisi wa nchi hii,,,sasa wewe mwenye chuki kama nyongo ya mamba nenda ukameze metocropomide 2mg ili utapike hiyo chuki,,,
 
Mwingine nae anakurupuka eti mh hana sifa,,sasa wewe unasifa zipi au ndo mkisha kunywa viroba ndo mnaanza kusumbua humu?
 
Hivi kila leo mnamsema mzee wa watu kila mara, sasa nyie wenu mnayemuona anafaa yuko wapi?
 
Naomba kwa Heshima na taadhimaa niondoke kwa Nape na Mh Mwiguru twende DODOMA NA MONDULI.
Hivi kweli huu urais ama kufanya Magogoni hizo ndio mbinu ama njia sahihi.
Watu kwenda kwa Makundi makubwa hivo mara Bora boda, Masheick,wachu ngapi na watoto wa shule nk.....eti kusihi mtu AGOMBEE kama sio MBINU YA KUSHINIKIZA CC IF ANY MAAMUZI YA LAZIMA.
TUNAOMBA CHAMA CHETU PENDWA KIWE MAKINI SANA KATIKA HILO.....
TUPATE CHAGUO LA MUNGU MA SIO WATU WA KUTIMIZA NDOTO ....
Kweli mambo yote
1.Richmond
2.Kiwanja cha kanisa Tanga bovu Mbezi Lutheran Church wamepita na TBL mpaka Baba Askofu Sendoro KUKUOMBA BADO UKAKIMEGA NA KIMYA DADA YAKO LEO USEME NI CHAGUO LA MUNGU...
3.Mengine mengi yatakuja ....
 
Hivi kila leo mnamsema mzee wa watu kila mara, sasa nyie wenu mnayemuona anafaa yuko wapi?

Kesho Nikiamka Salama Nakuja Na Bonge La Breaking News Ya Watu Watatu Ambao CCM Ndiyo Itawapitisha Mwisho Na Mmoja Atakaye Teuliwa Pia Ninae ILA Napenda Tu Kuwafahamisha Kuwa Lowassa Hayupo au Hatokuwemo Na Breaking News Hii Nimeipata Sasa Hivi Tena Kutoka Jikoni Kwenyewe. Niombeeni Mungu Kesho Nikiamka Salama Niwapeni Vitu Vya Uhakika Na Kama Mjuavyo GENTAMYCINE Huwa Sibahatishi. Endapo Nitasahau Naombeni Mnikumbushe Niwapeni NYETI Ambayo Bado Ni Mbichi. Alamsiki Nyote Na Wale Mlio Mamtoni Mnaoamka Sasa Haya Tunawaachieni Sasa Ulingo Huku Mvua Nayo Ikinyesha Na Sasa Tunataka KULONDOMOLA Wake Zetu.
 
Back
Top Bottom