Wana jf naomba mnielekeze nawezaje kuifuta google akaunt ktk cm yangu.
Na vp kama nataka kubadilisha
kubadilisha pia lazima ufanye master reset. lakini pia unaweza kuongeza account nyingine bila kutoa ile ya awali
jinsi ya kufuta google account nenda setting utaona pameandikwa google click hapo then remove.
hiyo haiwezekani kama una account moja.
KubalishaNa vp kama nataka kubadilisha
Simu yangu aina ya redmi 6 inakataa g mail. Au google accountkubadilisha pia lazima ufanye master reset. lakini pia unaweza kuongeza account nyingine bila kutoa ile ya awali